Rais Magufuli pole na kazi nachukua fursa hii kukukaribisha Mbeya mjini hasa hapa uyole ukija nitakuonyesha eneo la soko ambalo serikali ililipa fidia tangu miaka ya 1970 na wajanja wachache wananemeka sisi wamachinga tunafukuzwa barabarani kama wakimbizi.