RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,588
- 1,859
wakuu kama mnavyokumbuka mwezi april,mweshimiwa raisi aliweka jiwe la msingi kwenye miradi miwili mikubwa ambayo ni SGR na ubungo flyover, kwa ubungo interchange naona wameanza na ku-dry lile eneo ili kuondoa maji yote so washa anza ujenzi, vipi kwa SGR? wakati dr.mpango anawasilisha mapendekezo ya bajeti alisema washawalipa YAPI MERKREZ ya uturuki, dora167mil, kama malipo ya awali kwa ajiri ya ujenzi huu, je kwa mlio pugu ujenzi unaendeleaje?