Leo nilipita sabasaba,ni mda mrefu sana tokea nishiriki,lakin kiukwel hakuna maendeleo yoyote uwanja ule,yan nmeshuka kwenye gari viatu saafi narud kwenye gar vumbi kama nin sjui,uwanja ni ule...
Naombeni anayefahamu dawa..
Mfano unawezaje jizuia kulia kwenue kitu kinachokutia uchungu..
Unawezaje kuzuia kutoka machozi kwenye tukio lenye furaha (kwa baadhi ya watu5) au linalokuuzunisha..
Ndugu wana jamii forum naomba munisaidie kunipa majibu. hivi siasa nini hasa? mpaka sasa sijui maana halisi ya neno siasa
Nani mbunifu na mwanzilishi wa neno siasa.Nani alikuwa mwanasiasa wa...
Habari wananzengo,
Leo naomba nieleze hisia zangu kuhusu kampuni ya vodacom. Kwanza nianze kuwapongeza kwa kazi nzuri wanayoifanya kufikisha huduma za mawasiliano pande zote Mjini na Vijjini. Ila...
Kwakweli king'amuzi cha Zuku inabidi nikipumzishe, hakuna namna. Yaani tumatone kidogo tu twa mvua inakata kabisa hadi kero. Jana nimelazimika kutafuta CD, nimehangaika kwenye maboksi angalau mi...
Hivi katika masuala ya identity Najiuliza jf kwanini iko hivi je ni wazo la aliye create hii forum au ni watu wenyewe na kama yote ni sawa je kuna ulazima gani wa kufanya hivi.
Au ndo...
kama ilivyo hapo juu maana hakuna utaratibu unao eleweka kila mkurugenzi naskia anajisikia kupanga mda wake halmashauri zingine wanatoka saa 8.30 zingine wanatoka saa 10.30 watoto wanashinda njaa...
Habari ndugu zangu wa JF,
Mimi ni kijana nimezaliwa miaka 22 iliyopita kwasasa nina mpango wa kuanza kujitegemea sina kitanda wala godoro malipo yangu kwa mwezi ni 70 elfu pekee.
Kutokana na...
Mkazi wa Mtaa wa Kamabarage, Kata ya Igogo, Fatuma Ally (45) akipandishwa kwenye gari la polisi baada ya kukamatwa kwa tuhuma za kuwachoma moto watoto wake wawili Ally Omary (15) na Shapi (11) na...
Watanzania wote kwa umoja wetu tumesikitishwa na mauaji ya watu wasiokuwa na hatia huko Kibiti. Jambo la kushangaza ni vipi magereza inahusu mahabu kupanga na kutekeleza uovu huo na yenyewe...
Rais wa TFF Jamal Malinzi na Katibu Mkuu Celestine Mwesigwa, leo watapanda kizimbani katika Mahakama ya Kisutu na kusomewa mashtaka 28 likiwemo la utakatishaji wa Fedha na Ufisadi.
=======...
Meya wa jiji nakuomba kwa taadhima kubwa wewe ukiwa ni msimamizi mkuu wa jiji katika halamashauri zote hapo Dar.
Kuna hiki kikundi cha tambaza kinachokamatakamata waendesha pikipiki wanapoingia...
Habari zenu wakuu,
Nimeleta uzi huu kukumbusha baadhi ya vitu ili wahusika wapate kujua nini cha kufanya, naomba Songas wafanye hima kukagua bomba lao la gesi, kwani kutokana na hizi mvua...
Ajali Kati ya Bus la kampuni ya Adventure uso kwa uso na Lory huko Busunzu Kigoma. Hakuna vifo ni majeruhi tu. Ajali imetoka jana asubuhi.
=====
Basi la Kampuni ya Adventure July 2, 2017 kutoka...
Waandishi wa habari wawili walioshiriki mbio za mwenge wa uhuru katika wilaya ya Singida, wamenusurika kufa baada ya gari aina ya Noah waliyokuwa wakisafiria kuacha barabara kisha kupinduka mara...
Wahusika wa huu mtandao naomba mjirekebishe kwa kweli mnatuumiza sasa wananchi wenye vipato vya chini.
Tatizo lenyewe ni huu wizi wa kuwaunganisha wateja wenu vifurushi bila wahusika kujiunga...
Wakazi wa wilayani Kilombero wanatarajia kurejea katika matumizi ya kivuko katika kuvuka mto Kilombero kufuatia daraja la mto Kilombero linalounganisha wilaya za Ulanga na Malinyi kufungwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.