Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari! Ukifungua google keo na ukaandika tanzania map picha ya ramani utakayoiona ni hii hapa chini, angalia alama za mipaka. Hii ilitushtua, na kukumbuka kuhusu mgogoro huu, ambao binafsi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Leo kwa hakika nimelia na kufadhaika sana mbele ya kijana wangu. Ujio wako katika Barabara ya Kilwa (Sabasaba) hakika umeniondolea furaha ya siku yangu. Naomba niseme siku nyingine ukija Temeke...
41 Reactions
188 Replies
22K Views
Habari zenu wadau wenzangu. Miaka michache iliyopita nilifunga ndoa ya kidini na nikapata cheti cha kidini(BAKWATA), kwa sasa nalazimika kupata cheti cha ndoa kutoka serikalini (kazini...
1 Reactions
61 Replies
20K Views
KANISA la Waadventista Wasabato, Jimbo la Kusini Mashariki mwa Tanzania (SEC), limesema linaunga mkono kwa asilimia 100 jitihada za Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Magufuli...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Chanzo cha madai hayo, hati inasema, ni lugha iliyotumiwa na Muntu kwa baadhi ya watumishi wa hospitali ya Makoye waliokwenda Hospitali ya Rufani ya Mkoa wa Geita Juni 1 kumjulia hali mteja wao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Za usiku. Aisee juzi juzi kulikuwa na kama katamasha ka kuchangia damu. Wakaja wataalamu yaani madokta na manesi wakihamasisha watu watoe damu. Watu walijitokeza ili c kwa wingi. Mimi nilijitokeza...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Waugwana! Nipo eneo la Sigara karibu kabisa na uwanja wa Tanesco huku buza. Muda huu risasi zinaridima hatari. Zimeshasikika nne tayari. 1:55 Nyingine tatu sasa hivi. 2.09 Naona kumetulia sasa...
1 Reactions
87 Replies
13K Views
Serikali imesema itahakisha inatumia vyema tafiti za wasomi mbalimbali ili kusaidia kupanga mikakati yake katika masuala ya afya. Hayo yamesemwa katibu mkuu wa wizara ya afya maendeleo ya jamii...
0 Reactions
2 Replies
868 Views
TUNDU LISSU AKIZUNGUMZIA ISHU YA YULE MWANAFUNZI WA CHUO ALIYEKAMATWA KWA KOSA LA MTANDAO ARUSHA Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ameongea na waandish wa habari muda mfupi baada ya...
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Leo nimeona mahali Muundo wao umetoka na utekelezaji unatakiwa kuanza kuanzia tarehe 1/7/2017 inasemekana kuwa huu ulikuwa mpango wa Baba Jesca kipindi kile alipokuwa Waziri wa Ujenzi sasa muda...
1 Reactions
45 Replies
9K Views
Chadema mkoani Arusha imewapa mkono wa kwaheri viongozi wake wanaotaka kuhama na kuwataka waondoke sasa kwa kuwa chama hicho "kitakuwa na kazi kubwa ambazo zitahitaji kujitoa kwa dhati". Hadi...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
meseji muhimu kwa wanausalama wetu..hamjui tu lakini raia tunawapenda sana..hata tunapokuja taifa kuwatazama tunaona picha ya upendo wenu kwetu katika parade na nidhamu yenu kadhalika...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau naombeni ushauri wa kina juu ya hatua za kuchukua kwa ndugu yangu huyu wa damu... Kwa kifupi May, 2016 nilimkopesha ndugu yangu wa damu takribani 8.5m baada ya kukwama na kuniomba...
3 Reactions
57 Replies
6K Views
Polisi wamekudanganya. Hizo maiti ziko hospitali gani? Uzi huu usiunganishwe na uzi mwingine
23 Reactions
258 Replies
27K Views
Mzalendo fr James Rugemarila amesema yupo tayari kuhakikisha majipu yanayonyonya uchumi wa nchi Hii yanatumbuliwa! Hayo amesema Leo ktk hafla ya kumbukumbu ya kumkumbuka ya miaka minne ya kifo cha...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Jana katika pitapita zangu vuwanja wa maonyesho ya saba saba nilikuta TRA wakiendesha ziezi la ulipaji kodi ya majengo na wametumia pia tangazo lao kwenye insta
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hatimae kikosi cha taifa stars cha ilaza bafana bafana kwa moja bila hadi raha jaman
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetangaza kushuka kwa bei za Diesel, Petrol na Mafuta ya Taa kuanzia July 1, 2017.
3 Reactions
40 Replies
11K Views
Habari ya asubuhi wana jamvi poleni kwa mihangaiko ya maisha, kwa wataalamu wa haya mambo naombeni msaada nimefanya application ya visa ya marekani lakini nashindwa kufanya appointment for visa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika nakala zangu humu sijawahi kuzungumzia suala hata moja la kidini lakini leo nitazungumza jinsi serekali ya ccm Zanzibar ilivyomfanyia unyama mkubwa Sheikh Othman Maalim *_Sababu kuu ya...
13 Reactions
154 Replies
55K Views
Back
Top Bottom