Juzi kati mlikuja na maandamano, tupeni mrejesho mlifikia wapi maana naona machinga bado wanauza santuri za kifilipino mtaani.
JINI SONIA (picha kali ndani)
Hivi soko lao hasa ni akina nani? watoto? wazee? vijana? watu wa makamo? Marehemu Kanumba aliwahi kusema wengine hasa warembo wanaigiza kwa malengo tofauti kabisa na yale ya filamu - kuuza sura.
Kwa kawaida muvi zinaenda kwa nyakati, kwa hiyo uliyosema itakua ni first blood 1 au ya 2 au ya 3, kipindi hicho na sisi tulishakua na muvi ambayo mtu mmoja anaangamiza kambi nzima inaitwa Shamba Kubwa, tukaja na The witness tukaja na Misukosuko. Hizo zilikua ni nyakati za kuonyesha Badassery.
Baada ya muda era ya badassery imepotea ndiyo maana Rambo 4 ameonekana akisaidiana na mercenaries.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.