Magufuli umepigwa changa la macho Kibiti

Huo ni usanii wa Polisi,ndiyo kawaida yao wanataka waonekane wamefanya kazi,hao waliyouwawa watakua wamewachukua kutoka sehemu nyingine kabisa wakajakuwaulia pale,
Kama ni kweli walikua majambazi kuna maswali ya kujiuliza:
1.Majambazi wa kiwango cha kutisha vile wanawezaje kutembea barabarani kikundi chote hicho?.
2.ilikua ni usiku,taarifa inasema walivyoona gari la
Polisi wakakimblia porini,walijuaje ni gari la polisi na ilikua usiku?
3.kama ni kweli walijua ni gari la polisi ilikuaje wakakimbilia sehemu moja (hawakutawanyika) hadi wakapigwa risasi wote wanne?
Hakika narudia kusema huo ni usanii mkubw wa jeshi la polisi
 
Punguza kuangalia muvi za rambo na vietnam mkuu!
 
Polisi wamekudanganya.
Hizo maiti ziko hospitali gani?
Uzi huu usiunganishwe na uzi mwingine
Kwa wanavyopenda sifa mh picha zingejaa mitandaoni mpaka tv na radio mabloger magazeti na chochote kinachoandika na kutangaza habari vingekodishiwa basi kwenda kibiti bado polis wangepiga self na maiti mpaka kero leo wanaongea kilahisi eti walikutana na majambaka wakakimbilia vichakani na kuanza kushambulia ,haingii kichwani mwa mwenye ubongo hai
 
Back
Top Bottom