James Rugemarila: Nitamsaidia Rais Magufuli kutumbua majipu

komba05

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
367
291
Mzalendo fr James Rugemarila amesema yupo tayari kuhakikisha majipu yanayonyonya uchumi wa nchi Hii yanatumbuliwa! Hayo amesema Leo ktk hafla ya kumbukumbu ya kumkumbuka ya miaka minne ya kifo cha mjukuu wake (Isabela) nyumbani kwake!
Namtakia kazi njema ktk kuhakikisha majipu yanatumbuliwa!
Go fr James, Go on my role model!
 
Ama kweli Tanzania inadhihakiwa haya bwana atuambie basi waliochukua fedha kwenye sandalusi na Rambo stanbic
 
nyambaff!. washatuona sasa sisi ni mabweeege iko siku watajua wanao wacheze si kizazi cha mwaka 1961....
 
mmmhhh ..hii kali aisee...lkn anaongea hivyo kwa dhihaka kwa sababu anajua fisiem ni wale wale ubavu wa kumnyooshe kidole hawana..waliobeba hela kwa lumbesa wamekalia kiti cha enzi
 
Hahaha labda atumbue distribution cycle wa Heineken sasa unatumbuaje mtu ambaye sio subdued under your area of decree
 
Mzalendo fr James Rugemarila amesema yupo tayari kuhakikisha majipu yanayonyonya uchumi wa nchi Hii yanatumbuliwa! Hayo amesema Leo ktk hafla ya kumbukumbu ya kumkumbuka ya miaka minne ya kifo cha mjukuu wake (Isabela) nyumbani kwake!
Namtakia kazi njema ktk kuhakikisha majipu yanatumbuliwa!
Go fr James, Go on my role model!

Keshatumbuliwa yeye sasa!
 
Back
Top Bottom