Hii hunifanya nipende Jeshi

Hii hunifanya nipende Jeshi

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,161
Reaction score
802


meseji muhimu kwa wanausalama wetu..hamjui tu lakini raia tunawapenda sana..hata tunapokuja taifa kuwatazama tunaona picha ya upendo wenu kwetu katika parade na nidhamu yenu

kadhalika tunapokutana nanyi mabarabarani huwa, hamuongei na wala hamna fujo, ni wapole na hicho ndicho twapendea, tunajua fujo hamtaki..tunawapenda kwa sabbu mnapenda amani, amani amani idumu baina yenu,yetu na nchi yetu- Mungu mbariki rais wetu, wabariki askar wetu..Mh Amir Aaachie salary kwetu na kwa askar ili kila mmoja wetu aongeze upendo uliotukuka
mungu awalinde Amin
 
[emoji124][emoji124][emoji124]Napita tu cjui kuna njia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom