Tundu Lissu azungumzia ishu ya mwanafunzi wa chuo aliyekamatwa kwa kosa la mtandao Arusha

ObieTrice

Senior Member
Jun 27, 2017
159
154
TUNDU LISSU AKIZUNGUMZIA ISHU YA YULE MWANAFUNZI WA CHUO ALIYEKAMATWA KWA KOSA LA MTANDAO ARUSHA

Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ameongea na waandish wa habari muda mfupi baada ya kuachiliwa huru katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kistu mapema hii.
Mteja wake huyo Jovenary Shirima ambaye ni mwanafunzi wa Chuo huko Arusha, aliyekamatwa tangu mwezi wa kwanza kwa makosa ya mtandao na kuwekwa lumande.
Huku kesi hiyo tangu ufunguliwe upande wa walalamikaji hawakuweza kuendelea kuhudhuria mahakamani jambo lililopelekea kufutwa kwa kesi hiyo.
 
Aliwekwa ili ajifunze, hawakuwa na mpango wa kumfunga, ndo mana hawakuhudhuria shitaka
 
sasa nini recourse ya huyu aliye kuwa mtuhumiwa ,kanyimwa dhamana kwa muda wote huo,na mahakama imemwachia huru na sababu zenyewe upande wa mashitaka ulikuwa haufiki mahakamani !!!,je anaweza kumshitaki Waziri wa mambo ya ndani,DPP,RPC Arusha na wengineo ,kwa usumbufu waliomsababishia?someone pls can take this issue and test the water in court of law?
 
Mahakama zinatoaga hukumu ili 'iwe fundisho kwa wengine', sasa serikali ikiikimbia kesi iliyoifungua sijui tunajifunza nini!?
 
Back
Top Bottom