kanonb
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 397
- 337
Habari ya asubuhi wana jamvi poleni kwa mihangaiko ya maisha, kwa wataalamu wa haya mambo naombeni msaada nimefanya application ya visa ya marekani lakini nashindwa kufanya appointment for visa interview hivyo tafadhali wajuvi wa haya mavitu naomba msaada wenu
Nawasilisha
Nawasilisha