Watu wa damu salama mbadilike ili watu watoe damu

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
843
1,365
Za usiku. Aisee juzi juzi kulikuwa na kama katamasha ka kuchangia damu. Wakaja wataalamu yaani madokta na manesi wakihamasisha watu watoe damu. Watu walijitokeza ili c kwa wingi. Mimi nilijitokeza nikatoa damu.

Ila kuna watu walikuja wengi ila walishindwa kuchangia damu. Kwa maana ukitaka kutoa damu kwanza wanakupima urefu, uzito, umri, wanarekodi unapokaa, wanspima bp, sukari. Kitu ambacho ni mlolongo mrefu. Watanzania hawapendi kipimwa pimwa na kuandika majina yao mana wanajua mashilawadu kila kona

Ushauri wakitaka watu watoe damu zijae hata tank la mafuta waache mambo ya kuandika majina ya watu na umri na kupima pima watu. Mtu anataka akija atoe damu aondoke mambo ya unaitwa nani umri ya nini. Au kupimana pimana
 
Hiyo damu haimwagi ujue, anapewa binadamu so lazima taratibu za kitabibu zifatwe tena kama ni mimi nakupima hadi HIV
 
Za usiku. Aisee juzi juzi kulikuwa na kama katamasha ka kuchangia damu. Wakaja wataalamu yaani madokta na manesi wakihamasisha watu watoe damu. Watu walijitokeza ili c kwa wingi. Mimi nilijitokeza nikatoa damu.

Ila kuna watu walikuja wengi ila walishindwa kuchangia damu. Kwa maana ukitaka kutoa damu kwanza wanakupima urefu, uzito, umri, wanarekodi unapokaa, wanspima bp, sukari. Kitu ambacho ni mlolongo mrefu. Watanzania hawapendi kipimwa pimwa na kuandika majina yao mana wanajua mashilawadu kila kona

Ushauri wakitaka watu watoe damu zijae hata tank la mafuta waache mambo ya kuandika majina ya watu na umri na kupima pima watu. Mtu anataka akija atoe damu aondoke mambo ya unaitwa nani umri ya nini. Au kupimana pimana
Hapana hauko sahihi kabisa... Hivyo vyote vilivyotajwa ni muhimu mno kwa DAMU SALAMA!
Kumbuka hii sio damu tu bali ni DAMU SALAMA! Na kwakweli wanafanya kazi yao vizuri
DAMU SALAMA sio HIV- tu ni mlolongo wa usalama kuanzia magonjwa ya kurithi mpaka ya kuambukiza! Ni DAMU SALAMA kwa kila kigezo
Anuani pia ni muhimu kwakuwa inabidi kuwe na takwimu sahihi na ni msaada kwako pia kwakuwa ikigundulika damu yako ina tatizo lolote watakufuta wakusaidie
Kwa taarifa yako ni kwamba sehemu pekee unapoweza kupima ukimwi na ukapata matokeo sahihi kwa asilimia 99 ni DAMU SALAMA
 
We mleta mada sijui ndo umeisoma namba mpaka umedata?
Sasa usipimwe na ukatolewa damu ukazima itakuaje?
Lazima wajue kama una tatizo la kiafya ambalo pengine hata wewe hujui, hawawezi kumtoa damu kila mtu bila kumpima hii ni kwa manufaa ya mtoa damu.
Ukiona huwezi kupimwa ondoka na damu yako, wakija wenye akili timamu watafuata utaratibu wa kuchangia damu.
 
Ukitolewa damu bila kupimwa wataishia kuimwaga. Sasa kwanini usipimwe kabla?
 
Hapana hauko sahihi kabisa... Hivyo vyote vilivyotajwa ni muhimu mno kwa DAMU SALAMA!
Kumbuka hii sio damu tu bali ni DAMU SALAMA! Na kwakweli wanafanya kazi yao vizuri
DAMU SALAMA sio HIV- tu ni mlolongo wa usalama kuanzia magonjwa ya kurithi mpaka ya kuambukiza! Ni DAMU SALAMA kwa kila kigezo
Anuani pia ni muhimu kwakuwa inabidi kuwe na takwimu sahihi na ni msaada kwako pia kwakuwa ikigundulika damu yako ina tatizo lolote watakufuta wakusaidie
Kwa taarifa yako ni kwamba sehemu pekee unapoweza kupima ukimwi na ukapata matokeo sahihi kwa asilimia 99 ni DAMU SALAMA
Mshana... mimi ni member wa Damu salama..... (nilitaka kuongea uongo hapa ila roho imenisuta, ngoja niishie hapa.... ila uko sahihi)
 
Mi nadhani mtoa mada yupo sahihi. Mi ningeshauri watu watoe damu then waende nazo maabara wakazipime. Ninavoamini hii itaongeza kiasi cha damu. Vinginevyo tutakuwa tunasikia kila siku damu haitoshi damu haitoshi
 
Zipo sifa za msingi ili mtu aweze kuchangia damu:
1. Umri miaka 18 - 60
2. Uzito kuanzia kilo 50
3. Damu ya kutosha.
Sasa taarifa hizi wanazipataje bila kupima na kukuuliza tarehe ya kuzaliwa? Maambukizi ya magonjwa mbalimbali kama VVU na aina za homa ya ini hupimwa baadae kabisa wakati mchangiaji ameishatoa damu. Upimaji wa damu baada ya kutolewa ni muhimu ili kujiridhisha na usalama wake kabla ya kuwekewa muhitaji.
Mchangiaji anao uhuru wa kufatilia matokeo ya vipimo vya damu yake akipenda wala halazimishwi.
 
Ukitolewa damu bila kupimwa wataishia kuimwaga. Sasa kwanini usipimwe kabla?
Acha uongo, HIV na magonjwa mengi tu hayapimwi hapo hapo..Wanakupima kwa faida yako mtoaji usije ukapata madhara baada ya kutoa hiyo damu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom