Msaada: Jinsi ya kujizuia kuwa emmotional

Msaada: Jinsi ya kujizuia kuwa emmotional

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,378
Naombeni anayefahamu dawa..
Mfano unawezaje jizuia kulia kwenue kitu kinachokutia uchungu..
Unawezaje kuzuia kutoka machozi kwenye tukio lenye furaha (kwa baadhi ya watu5) au linalokuuzunisha..
 
Mmh. we lia lia tu, tumia ulichopewa. Kama huna wla kwanini usilie, kama ukishinda biko kwanini usilie.
We lia tu
 
Mimi huwa najitahidi kukumbuka vitu vya kuchekesha ile huzuni inaondoka kwa muda.
 
Mmmh aisee inategemea na watu, kuna wenye uwezo huo mkuu
 
Back
Top Bottom