Hivi kampuni ya Vodacom ni wakala wa TRA?

Jan 29, 2017
61
66
Habari wananzengo,

Leo naomba nieleze hisia zangu kuhusu kampuni ya vodacom. Kwanza nianze kuwapongeza kwa kazi nzuri wanayoifanya kufikisha huduma za mawasiliano pande zote Mjini na Vijjini. Ila tatizo la Vodacom ukipoteza laini ya till (M~pesa), utaratibu wa kurejesha ama ku~renew ni inshu sana.

Watakwambia lete viambatanishi kama leseni ya biashara na tin namba
endapo watagundua leseni/Tin no imepitwa na mda huwezi kupata huduma kabsa. Huu mfumo wa Voda unanipa maswali mengi sana.

Hapa nauliza Vodacom kwa mashartI yenu, ninyi ni Mawakala wa TRA?
 
"......Endapo watagundua leseni/Tin no imepitwa na mda huwezi kupata huduma kabsa"

Cha kufanya huisha (update) na ihakiki leseni/TIN usipate usumbufu!
 
Back
Top Bottom