Wahusika Songas mpo wapi?

Wahusika Songas mpo wapi?

komba05

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
367
Reaction score
293
Habari zenu wakuu,

Nimeleta uzi huu kukumbusha baadhi ya vitu ili wahusika wapate kujua nini cha kufanya, naomba Songas wafanye hima kukagua bomba lao la gesi, kwani kutokana na hizi mvua zilizopita hivi karibuni zimeleta adha kubwa kuchimba bomba, bomba limekuwa wazi, yaani juu kabisa tofauti na inavyotakiwa hivyo naomba wahusika wafanye uwajibikaji tafadhali.

Wananchi wanahofu kwa sababu bomba lenyewe ni bomba la gesi! Hivyo wahusika wa Songas nadhani mmetuelewa.
 
Back
Top Bottom