Siasa nini hasa?

stujadiliane

Member
Jun 2, 2017
66
84
Ndugu wana jamii forum naomba munisaidie kunipa majibu. hivi siasa nini hasa? mpaka sasa sijui maana halisi ya neno siasa
Nani mbunifu na mwanzilishi wa neno siasa.Nani alikuwa mwanasiasa wa kwanza Africa na duniani

Je siasa ni uhasama? je siasa ni uongo unafiki na ubabe? sipati majibu naomba munisaidie
 
Back
Top Bottom