Kigoma: Basi la Adventure lapata ajali, hakuna vifo

Kigoma: Basi la Adventure lapata ajali, hakuna vifo

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,201
Reaction score
64,654
Ajali Kati ya Bus la kampuni ya Adventure uso kwa uso na Lory huko Busunzu Kigoma. Hakuna vifo ni majeruhi tu. Ajali imetoka jana asubuhi.

=====

Basi la Kampuni ya Adventure July 2, 2017 kutoka Kigoma kwenda Mwanza limepata ajali likiwa njiani kuelekea Mwanza eneo la Busunzu baada ya kugongana USO kwa USO na Lori aina ya Fuso.

Ajali hiyo imetokea majira ya asubuhi na taarifa zinasema kuwa hakuna vifo zaidi ya majeruhi kwa baadhi ya abiria.
19601342_1488473051220534_5319849577543874318_n.jpg

19601506_1488845354516637_8532859903124915281_n.jpg
19554365_1488473074553865_5820698911364360718_n.jpg
19657243_1488473001220539_1680668442087941145_n.jpg
19598554_1488472981220541_7306291784992516240_n.jpg
 
Mwenyezi Mungu awaponye abiria wote
 
Back
Top Bottom