Masika imeanza, kwaheri Zuku

Masika imeanza, kwaheri Zuku

maroon7

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Posts
11,345
Reaction score
15,852
Kwakweli king'amuzi cha Zuku inabidi nikipumzishe, hakuna namna. Yaani tumatone kidogo tu twa mvua inakata kabisa hadi kero. Jana nimelazimika kutafuta CD, nimehangaika kwenye maboksi angalau mi na familia yangu tusiboreke hadi nikalazimika kuangalia bongo movie. Bahati nzuri dada wa kazi alikua ameazima wapi cjui.

Kweli nawatema Zuku, tutaonana tena June maana hamkawii kupiga simu kuniuliza mbona nimeacha kulipia. Subirini masika iishe.

Back to Dstv Bomba!
 
duh kumbe ni shida ivo.ngoja tu nijipange bas kununua kadstv kanguu...vp cha azam hakina matatzo mkuu?
 
DStv nayo inasumbua sema mvua ikiwa kubwa lazima kustack ikipungua mambo yanakuwa mazuri.
Ku band LNB, ndiyo matatizo yake mvua ikinyesha kubwa ni lazima ikate mawasiliano, sasa iwe wakati utaangalia habari, du unakasilika hadi basi, ndiyo maana mimi kwangu nimefungua pia dish kubwa kwa ajili ya C band local channels, mvua ikipamba moto nahamia dish la C band, hapo hata ya mawe hazikati.
 
Hii sio masika mkuu ni vuli.Masika ni mwezi wa nne.
Kwakweli king'amuzi cha Zuku inabidi nikipumzishe, hakuna namna. Yaani tumatone kidogo tu twa mvua inakata kabisa hadi kero. Jana nimelazimika kutafuta CD, nimehangaika kwenye maboksi angalau mi na familia yangu tusiboreke hadi nikalazimika kuangalia bongo movie. Bahati nzuri dada wa kazi alikua ameazima wapi cjui.

Kweli nawatema Zuku, tutaonana tena June maana hamkawii kupiga simu kuniuliza mbona nimeacha kulipia. Subirini masika iishe.

Back to Dstv Bomba!
 
Ku band zinakuwa affected na mawingu yakijikusanya juu. C band inapasua anga popote hata radi zije na mawingu kama turubai. Kwahiyo popote utakapo hamia kama wanatumia madishi madogo ni KU band so usisumbuke.
 
duh kumbe ni shida ivo.ngoja tu nijipange bas kununua kadstv kanguu...vp cha azam hakina matatzo mkuu?
Hilo ndio janga kuliko hata zuku, jana nilitaka nicheki game ya kichwa cha mwenda wazimu vs zimbambwe lol....... Niliangalia dk 8 tu za mwisho
 
Back
Top Bottom