Tuache Unafiki

Tuache Unafiki

Dampa

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2017
Posts
810
Reaction score
1,265
Hivi katika masuala ya identity Najiuliza jf kwanini iko hivi je ni wazo la aliye create hii forum au ni watu wenyewe na kama yote ni sawa je kuna ulazima gani wa kufanya hivi.
Au ndo tunadhihirisha kwamba watanzania sisi ni wanafiki kiasi hiki.Sijajua masuala ya identity humu yanachukuliwa vipi.
Lakini nafikiri ni vyema kila mtu akawa tu huru kama mitandao mingine facebook,Twitter nk
Huu unafiki bongo utaisha lini hadi kwenye mitandao.....
Big up kwa ambao wapo real...
 
Mkuu wewe mbona haupo real kwenye hiyo avatar yako?
 
Jibu unalo mwenyewe
 
Mkuu wewe mbona haupo real kwenye hiyo avatar yako?
Mm nipo real cz that's is my real name lakini wakati naandika nikawaza nitakuwa nimekosea nn maana majina ya humu duh km sio ya watu vile
 
Kila mtu anamaamuzi yake mfano mimi sijaingia kwa jina langu kwasababu nimeprefer pen name
 
Hata baba j alisema Tusimpangie.
 
Duniani kote Discussion Forums zote ziko hivyo!

Halafu hii ni Forum usifananishe na Facebook.
Eti.... nitajie mojawapo bhasi tena ww unajiita businessman hata biashara ya sambusa tu huna c ufoo huu
 
Mkuu Dampa, natumaini hilo ni jina lako halisi japo haujataka kuweka jina lako la pili!
Ninachoomba kujua ni kwamba katika hiyo avatar wewe ni yupi, na huyo mwingine uliyepiga naye picha ni nani?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Eti.... nitajie mojawapo bhasi tena ww unajiita businessman hata biashara ya sambusa tu huna c ufoo huu
Msanii Mr.Ebo nam'nukuu "Acha kubisha-bisha vitu usivyo vijua oyaa! Hizo ni dalili za ujinga"

Kama jambo hulijui vyema kuuliza kwa upole na unyenyekevu.

Nairaland forum-Nigeria,Nadhani inashika nafasi ya kwanza Africa kwa kuwa na member wengi.
 
Hivi katika masuala ya identity Najiuliza jf kwanini iko hivi je ni wazo la aliye create hii forum au ni watu wenyewe na kama yote ni sawa je kuna ulazima gani wa kufanya hivi.
Au ndo tunadhihirisha kwamba watanzania sisi ni wanafiki kiasi hiki.Sijajua masuala ya identity humu yanachukuliwa vipi.
Lakini nafikiri ni vyema kila mtu akawa tu huru kama mitandao mingine facebook,Twitter nk
Huu unafiki bongo utaisha lini hadi kwenye mitandao.....
Big up kwa ambao wapo real...
Umefukuzwa face book??
 
Back
Top Bottom