Katika kutafuta kiki Ngeleja ametangaza kurudisha pesa aliyopewa na Ruge kiasi cha shs milioni 48.Je pesa hizo anamrudishia nani?
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Kuna suala la Polisi ambao wangekuwa wakifanya doria nyakati za usiku maeneo ya Kibaha kuanzia Maili Moja, picha ya Ndege na maeneo yake kwa Mbonde, kwa Matias, Mwendapole, kwa Mfipa, mpaka...
Kwako Mh Mwigulu Nchemba najua upo humu na huwa unapita pale upatapo nafasi.
Kama ulivyosikia mwingine kauwawa tena leo huko Kibiti kabla hata maumivu ya mauaji ya juzi hayajapoa. Toka haya...
Wakuu, naombeni kujuzwa vipimo kwa vitu vifuatavyo:
(1)Upana(kwa kawaida)wa kabati za vyombo milango mitatu.
(2)Upana wa kabati kubwa za nguo(nadhani pia zinakuwa milango mitatu).
(3)Je...
Salam wakuu<br />Baada ya kuvutiwa na bidhaa za aliexpress na mimi nikaagiza bidhaa moja hivi<br />Nimeagiza toka tarehe 27/6 mpaka leo tarehe 9/7 bado mzigo wanadai upo hongkong <br />Najaribu...
Hivi punde dada mmoja wa kitanzania kwa jina Victoria Jimmy ametoka mbele ku testify anaongea kiingereza kibovu sana yaani broken english.
Huyu dada ni bora angetoka mbele ya world tv ya emmanuel...
Habari wafa,
Kuna mtu amekuja na gari Kutoka South Africa nimeipenda nataka kununua. Naomba kujua nikitaka kuibadili namba zake za usajili zisomeke za Tanzania gharama zake zipoje na utaratibu...
Misiba ya zamani utawasikia ' Waombolezaji ' muda wote....
Wakimlilia Marehemu huku wakitoa sana ' michango ' ya Pesa.
Wakiwatia moyo Wafiwa
Wakisaidia Kazi muhimu za pale Msibani
Wakihakikisha...
Bado nchi yetu ni kama haina viongozi kabisa kuna hili jambo limeibuka la mayai ya kwale kutibu magonjwa sugu, Bila kuthibitishwa na wataalamu na Serikali ipo likizo trey ya mayai ya kwale ni...
Jana 9-10-2017, katika kipindi cha “This Week in Perspective” – TBC – kinachoendeshwa na Adamu Simbeye, waliongelea kuhusu Vitabu Vibovu vilivyoandaliwa na Taasisi ya Elimu Tanzania (TIE).
Kati...
Habari wakuu.
Naomba tupeane uzoefu wa kufanya kazi chini ya maboss vimeo wasiojua kazi na wenye gubu na maneno mengi
Mimi binafsi Nishawahi kufanya kazi chini ya boss mmoja hivi wa kike, sina...
Kuna Watu bwana ikitokea wamekufa wanaachaga usumbufu wa kusaka picha kubwa na wakati mwingine picha hukosekana kabisa, hebu kapigeni picha bwana. Kifo Kipo any time.
Mabasi ya mikoani huwasaidia sana wasanii wa bongo movie kuwatangaza. Naimani kabisa raia wengi hulazimishwa kuangalia bongo movie wawapo safarini wengine hukumbushwa na wengine hukerwa sana...
Mjukuu wangu ndagu niliyokukabizi hiyo uwe makini na pesa hizo zinazokuja usiogope ndio mafanikio yako si nilikwambia utafanikiwa kwa mda mfupi sasa umeona mwenyewe na siri hiyo usitowe kwa mtu...
Ndugu wana jukwaa, habarini za asubuhi, natumaini mu wazima wa afya. Samahani naomba kufahamishwa kama hii kampuni ipo tanzania ama haipo, FAIRWAY EXPRESS COURIERS LIMITED. Mwenye taarifa zaidi...
Habari za majukumu wana JF wote,
Nina matumaini mu wazima wa afya njema na kwa wale wagonjwa Mungu awasaidie muwahi kupona..
Back to the point..
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 26...
NDANI YA CHUMBA CHA BINTI WA KAZI [house girl]
Baba anavamiwa na pepo wa ngono anajikuta anawaka tamaa kwa binti wa kazi ambaye ni kama mtoto wake wa kumzaa.
Baada ya hiyo hali kumchosha house...
Kwanza niseme wazi kabisa kwamba hili nimeshindwa kulipatia majibu ya kutosha hata baada ya kujipa muda wa kutosha kulitafit.
Binafsi nilishawahi kumuona walau ndondocha mmoja mwenye asili ya...
Wakuu.
Bongo kuna uchakachuaji sana. Ukinywa beer, kilevi chake siyo sahihi. Beer nyingi zinalewesha mno na zina hang over ya ajabu mno. TBS sijui huwa wanapimaje aisee au sijui huwa zimechacha...
Wanajamvi,
Ninaomba wahusika wauchukue ushauri wangu juu ya hawa wanaoitwa "wauwaji wa Kibiti" Imekuwa sasa kawaida kupata taarifa kwamba hawa waliouawa ni miongoni mwa genge lile.
Mie naomba...