Tahadhari: Utapeli mpya kwa njia ya simu

Mzalendo39

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
881
Reaction score
1,035
Mjukuu wangu ndagu niliyokukabizi hiyo uwe makini na pesa hizo zinazokuja usiogope ndio mafanikio yako si nilikwambia utafanikiwa kwa mda mfupi sasa umeona mwenyewe na siri hiyo usitowe kwa mtu yoyote unipigie nikuelekeze.

Huo ni ujumbe nimetumiwa muda mfupi uliopita, kupitia number 0627241141 hao ni matapeli ukiwa na tamaa ya fedha utajikuta umetapeliwa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli hao ni matapeli lkn mbinu yao ya kishamba sana.
Wapo na wenzao wa nafasi za jeshi.Take care guys
 
Mjukuu wangu ndagu niliyokukabizi hiyo uwe makini na pesa hizo zinazokuja usiogope ndio mafanikio yako si nilikwambia utafanikiwa kwa mda mfupi sasa umeona mwenyewe na siri hiyo usitowe kwa mtu yoyote unipigie nikuelekeze.

Huo ni ujumbe nimetumiwa muda mfupi uliopita, kupitia number 0627241141 hao ni matapeli ukiwa na tamaa ya fedha utajikuta umetapeliwa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Tapeli wa JF huyo Mtu mzito
 
Unge reply na umwambie
Pambana na hali yako
Mwenywe na alikuzaa!
 
Matapeli wa kishamba kweli! Kila siku wanabadili mbinu lakini bado hawajaweza! Waende Nigeria wakajifunze kdg

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Mjukuu wangu ndagu niliyokukabizi hiyo uwe makini na pesa hizo zinazokuja usiogope ndio mafanikio yako si nilikwambia utafanikiwa kwa mda mfupi sasa umeona mwenyewe na siri hiyo usitowe kwa mtu yoyote unipigie nikuelekeze.

Huo ni ujumbe nimetumiwa muda mfupi uliopita, kupitia number 0627241141 hao ni matapeli ukiwa na tamaa ya fedha utajikuta umetapeliwa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Mimi hadi hii meseji imenichosha maana kila mwez lazima nitumiwe.Tena ndugu jiandae na nyingine nzito za kutisha.Yaan sijui tu namna ya kumtega huyu mtuma meseji ananikera sana.
 
Huyu fala nilimpigia simu nilimpa fcuker hakurudia tena...
 
Mwambie haina haja ya maelekezo kwakuwa ndagu imeshafanikiwa na pesa zinaingia bila shida

Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app
 
Meseji Kama hizo za kitapeli zilimrusha roho Dada mmoja huku mtaani zilimtia mawenge ya uchizii yaan ilikua baraa mpaka kuja kukaa sawa!!!

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Mjukuu wangu ndagu niliyokukabizi hiyo uwe makini na pesa hizo zinazokuja usiogope ndio mafanikio yako si nilikwambia utafanikiwa kwa mda mfupi sasa umeona mwenyewe na siri hiyo usitowe kwa mtu yoyote unipigie nikuelekeze.

Huo ni ujumbe nimetumiwa muda mfupi uliopita, kupitia number 0627241141 hao ni matapeli ukiwa na tamaa ya fedha utajikuta umetapeliwa

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app

Sasa mesej gani hio??
Yaani wamekuona ww mwanamayo haasa au mtu bush mno[emoji16]
Sasa mesej gani hio yakitoto ivo
Ati mjukuu wangu
Hlf namba ya halotel[emoji16]
Mkuu wapo ma TP wa mitandao mkuu ATM walishalizwa saana sio hio style uliotumiwa ww hao walishakusoma wakajua umetoka kwenye mavuno[emoji16]
 
na bila shaka itakuwa upo huko nyanda za juu kusini kaskazini, wana hako kamtindo... na namba wanazipata kama utakuwa umeacha contact zako kwenye mambo ya kibiashara... cha kufanya just block them au vinginevyo kuonesha kukerwa
 
Back
Top Bottom