Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 918
Mabasi ya mikoani huwasaidia sana wasanii wa bongo movie kuwatangaza. Naimani kabisa raia wengi hulazimishwa kuangalia bongo movie wawapo safarini wengine hukumbushwa na wengine hukerwa sana. Napenda kuwashauri na kuwaomba waendelee kuwahimiza madereva na makonda wa mabasi kuweka filamu zao kila mara wawapo safarini