Watu wengi naona wakifanya hivyo sasa ni kitu kinachoniacha na maswal mengi sana je usipoanza mjengea yeye au ukijenga iyo yako na ukae nae tu kuna tofauti gani na je kama wazazi wanayo nyumba...
Hili jambo watu wengi wanataka kulificha , sijui ni kwa faida ya nani ?
Kwanza Mabanda mengi ni matupu ( yamekosa wapangaji ) , makampuni mengi ya binafsi hayapo kabisa , tofauti na miaka yote...
Imagine:
Scenario I
Wewe ni kiongozi wa taasisi, halafu ama kwenye kikao cha ndani au on the public, anaibuka subordinate wako anakuambia "yaani katika maisha yangu sijawahi kuona kiongozi wa...
Nimefuatilia kwa karibu sana huu mjadala wa R. Abraham Mengi na Ndugu R. Azizi kwa ukaribu sana. Kilichonisikitisha siyo malumbano ya hawa wakubwa, bali ni nafasi yetu sisi kama wananchi na wenye...
Nimekuwa mtumiaji wa maziwa ya Nido kwa siku nyingi lakini maziwa hayo siku hizi hayayeyuki vizuri, sijui ndio wajanja wameshayaingilia au vipi?
Hapa nilipo nimenunua kopo moja Batch no...
Wana JF habari,
Napenda kuweka mada maalum sijafahamu kama ipo tayari humu ndani itakayokuwa inaonyesha mahali madini yalipo,aina ya madini hayo,changamoto zake ktk eneo husika yanakopatika na...
_Muamar Gaddafi's Prophecies:
"I will not go into exile to any foreign country. I was born here in Libya, and I will die here. This country was a dessert, and I turned it into a forest, where...
Kuna tofauti kubwa kati ya kuendelea na masomo ukiwa mja mzito na kurudi shule baada ya kujifungua. Shule ya Oldonyo Kenya ni mfano mzuri wa kuendelea na shule baada ya kujifungua. Kwa Marekani...
SUPERFEO YAUA TENA SONGEA
KAMPUNI ya mabasi ya Superfeo inayosafirisha abiria toka jijini Mbeya hadi mjini Songea leo tena imepata ajali katika eneo la Hangagadinda wilayani Songea na kuua mtu...
Waungwana inverter yangu imeharibika na feni yake tu ndiyo inazunguka! Hivi kuna mafundi wa hii kitu na wako wapi kwa Dar Es Salaam?
Napata taabu as solar power ni back up ya umeme wa kifisadi wa...
Hapa nchini kwa wale walio katika sekta ya Umma, ofisi nyingi kama si zote muda wa kuanza kazi ni saa moja na nusu. Muda huo huwafanya watu waamke kuanzia saa kumi na hata kumi na moja kuanza...
Mfanyabiashara maarufu, Yusuf Manji, ameondolewa chini ya ulinzi mkali wa Polisi katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), alikokuwa akipatiwa matibabu na kupelekwa Gereza la Keko, lililopo...
Kuna ubishi ambao umekuwa ukiendelea kuhusu jiji lipi linaongoza kwa ukubwa na wingi wa watu baada ya jiji la Dar. Wengi wamekuwa wanapambanisha Mwanza na Arusha wengine wameenda mbali zaidi...
Leo kila nikiingiza vocha za Airtel UNI 2GB za shs1000/- zinakataa na yanakuja maelezo kuwa " huduma hii imesitishwa kwa sasa, tumia Airtel money'' Swali kama huduma imesitishwa kwa nini...
Habari za asubuh hii zinasema Madereva wa Malori wameamua kuacha Magari yao njiani, ni baada ya mwenzao kukwatuliwa Risas Bandarini jana, Magari hayatembei kabisa toka Kibaha kuja Ubungo.
Kuna...
Habari wanajamvi,
Taarifa ya habari ya Leo 8/7/2017, wakati wa Habari za Michezo hususani habari kuhusu UCHAGUZI WA SOKA LA WANAWAKE TANZANIA. Wakati msimazi wa Uchaguzi akiongea nimeona Mende...
Wanajamvi habari
Napenda kuwasilisha kero kubwa kwa watumishi wa halmashuri ya Kibaha Vijijini ambapo watumishi walio wengi wanafanya kazi kwa kujituma na pindi juhudi zinapoonekana wengi wa...
Nadhani ujenzi imekuwa kasumba hapa Tanzania, kila mtu ukikutana nae eti, bado hujajenga? ni maswali sawa na yale ya bado hujaoa? ....E bwana ee tusipangiane nikimbilie kujenga na ka milioni 50...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.