Kiingereza ni tatizo lajionesha SCOAN

Kiingereza ni tatizo lajionesha SCOAN

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
3,574
Reaction score
4,857
Hivi punde dada mmoja wa kitanzania kwa jina Victoria Jimmy ametoka mbele ku testify anaongea kiingereza kibovu sana yaani broken english.
Huyu dada ni bora angetoka mbele ya world tv ya emmanuel tv na mkalimani maana ni aibu kwa chuo chake alichomaliza pia. Ni graduate wa Tumaini iringa akiwa na shahada ya sheria.

Ombi wabongo wenzangu mkiwa mnakwenda ku testify mbele ya global tv kama emmanuel kama hujui kiingereza ni bora ukanyamaza.
Anajinadi kwamba kapata ajira Gimco Africa na amepona ulcers za tumbo
 
Kama wameelewana haina shida! Nafikiri hata wewe umeelewa alichokuwa anazungumza........

Kuna watu wana PhD mkuu ila hii lugha tatizo siku hizi wanajificha kwenye uzalendo wa kuendeleza kiswahili sembuse huyo mwenye bachelor
 
English language of the most important thing is that the only thing that is not valid for sale near future and the other day I was just wondering if you have a good time to time and money when you get the best way to get the best way forward is not valid in my job and a bit like to be the best price on a regular visitor centre for research in this email address and telephone number
 
Ofcourse the English the language is the most difficutiest of the french colonial rule of assimilation in the solar system including bashite of the planet.
 
Ha ha ha!
Stress free zone
 
Baba, huo utani, sheria ya makosa ya mtandao itakuhusu, mkuu hasemwi hovyo
Kama wameelewana haina shida! Nafikiri hata wewe umeelewa alichokuwa anazungumza........

Kuna watu wana PhD mkuu ila hii lugha tatizo sembuse huyo mwenye bachelor[/QUOT
 
Ofcourse the English the language is the most difficutiest of the french colonial rule of assimilation in the solar system including bashite of the planet.
you know we were was going to the be mosk english speaker when we was promoting that language during colonialist up to the ww1 including some issues like make banana to become a face of sinyorita.. etc.
 
Ni ushauri tuu lakini tusiwe na jazba. Dada amebarikiwa ameonesha mashamba makubwa ya mpunga na mchele. Itabidi aje JF biashara section ashee uzoefu maana kwa mshahara wa gimco africa wan mil 2 kuwa hekari 100 za mazao kidogo inaleta utata kuamini.
 
How about loans buddy?
 
Kiingereza siyo lugha yake ya kwanza ni ya tatu.
 
Mke wa Trump mwenyewe na ndo kaishi Marekani muda mrefu hajui kiingereza vizuri,leo unamshangaa mtanzania anaeongea kiswahili 24hrs/24?Cha muhimu kaeleweka na mpaka wewe umemuelewa kiasi cha kuandika hapa kaongea kuhusu nini.
 
Ukistaajabu Tumaini University utayaaona ya UDSM phd holder.
Ila bado naamini kuwa academic hapa TZ hakumaanishi uwe eti unazungumza kiingereza vizuri sana, hapana kabisa, na kama ni hivyo basi raia wa kawaida toka hizi nchi kama, Warusi, Wahispania, Wajerumani, Wafaransa, Wajapanna hata Wachina wangechekwa kama hivi
 
Kama wameelewana haina shida! Nafikiri hata wewe umeelewa alichokuwa anazungumza........

Kuna watu wana PhD mkuu ila hii lugha tatizo sembuse huyo mwenye bachelor
Bachelor anatakiwa ajitaidi bwana sisi wa form four itakuwaje sasa??????[emoji15]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom