Iki kipindi kinatufundisha umalaya tu hakina maadili ya Kitanzania kinafundisha umalaya tena kinarushwa mchana mweupe
www.tcra.go.tz
Kipindi kimaitwa Kizunguzungu
kina rushwa Swahili tv
Uganda ya saini mikitaba yakuimarisha usafirishaji na Tanzania. Someni banner ya nyuma kwenye picha ya kushoto. Huwa tunawambia wakenya kuwa Uganda ya kwetu lakini hawaelewi. Mganda hawezi...
Wadau mada inajieleza ..kwa nini hawa watu wanaojiita manabii na mitume wasiende vituo vya afya kufanya maombezi maana usanii wanaohufanya tumeuchoka
Na ndio maana unakta waumini wao ni maskni wa...
Unakuta wakati fulani wanafululiza kuzungumzia agenda za ajabu.
Kwa mfano unakuta wanajadili kuhusu pedi kwa wanafunzi au ushoga nk nk
Hivi wanakuwa wamekosa agenda zingine hadi wazungumzie agenda...
Wakuu habari za wakati?
Leo mchana nilibahatika kufuatilia tukio la kuuaga mwili wa G.G. Kariuki, aliyepata kuwa waziri wa Ardhi na Makazi nchini Kenya, nikapatwa na mshangao kuona Rais Kipenzi...
Bwana Yesu asifiwe/Tumsifu Yesu Kristo/Mwanakondoo Ameshinda wadau wote wa jamii forum:
Kwa Leo tupeana shuhuda ya nini kilitokea katika maisha yako iwe kazini,shuleni,kwenye biashara kifupi ni...
" Education is not a way to escape poverty, it is a way of fighting it "
"Elimu sio njia ya kuukwepa umasikini, bali ni njia ya kupambana nao"
Mwalimu J.K Nyerere
# " Tabia ya kumpa mtu pole...
Wakuu habari.
Kwa sasa TRA inakusanya kodi ya majengo. Lengo hasa ni kua na database nzuri ya idadi ya majengo/nyumba wanazomiliki watu.
Baada ya hii kodi kitakachofuata ni kuhakiki uhalali wa...
Kama unavyojua kwa upande wa ajira nyingi za serikali mwenye dhamana ni ofisi za utumishi wa umma ambao wanahusika na kila kitu ktk ajira na mpaka mtu anapata kazi.
Kuna Data Base ambayo kazi yake...
Ipo Siku Nitaenda Kulala Geti La Ikulu.
Inawezekana msomaji usiamini haya, ukaona ni mzaha tu. Ila ipo siku kwa kweli nitaenda kulala mlangoni ama getini mwa ikulu ili Rais atakapokuwa anatoka...
Habariiini... Wakuu nkuwa nabisha Kuwa pesa si kila kitu.. Yaan asikudanganye mtu...pesa is everything mengine ni minor Case.tu. Yaan ukiwa., na hela ,ukisema wew ni Mungu watu...
Miaka ya hivi karibuni tangu awamu ya tano ishike hatamu, ualimu umepoteza hadhi yake kabisa yaani si vyuoni kwenye ajira wala kazini
Kiukweli itashangaza sana kwa Tanzania yetu hii kama kutakuwa...
Wakuu, kuna imani tumejengewe wengi wetu kuwa wanawake wanamikosi. Si kwa wote ila ni aina ya wanawake wao wanakua na mikosi au nuksi.
Wahenga walienda mbali na kusema ukifanya mapenzi na...
*SITAISAHAU SIKU YA JANA*
Wahenga walisema kuishi kwingi kuona mengi, basi nami nimeona na kufanya mengi ila Jana ilikuwa kiboko. Asubuhi mida ya SAA 3 niliamshwa na meseji za WhatsApp nikaanza...
Wananchi wa Kata ya Mawenzi, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamelazimika kuunda vikundi vya ulinzi katika mitaa yao nyakati za usiku kwa lengo la kutokomeza biashara ya uchanguduo na...
Wakuu,
Nipo hapa katika eneo la Nera ilipo bandari ya meli za abiria zitokazo Mwanza mjini kuelekea wilayani Ukerewe. Abiria zaidi ya mia nne wamebaki baada ya meli ya MV Nyehunge kusemekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.