Usalama kati ya Tanzania na Kenya

Usalama kati ya Tanzania na Kenya

Manjagata

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
17,572
Reaction score
20,610
Wakuu habari za wakati?

Leo mchana nilibahatika kufuatilia tukio la kuuaga mwili wa G.G. Kariuki, aliyepata kuwa waziri wa Ardhi na Makazi nchini Kenya, nikapatwa na mshangao kuona Rais Kipenzi cha Wakenya na Afrika Mashariki kwa ujumla akiwa huru kabisa bila kusimamiwa na magruned kwa nyuma au pembeni yake. Nikabaki najiuliza au kwenye misiba walinzi hawaruhusiwi au Usalama wa Kenya uko vizuri kuliko wa hapa kwetu? Kwa nini Rais kwetu akiwa anatoa neno lazima asimamiwe na walinzi nyuma yake na pembeni yake? Ina maana sisi nchi yetu siyo salama ki vile? Juzi tulishuhdia maaskari waliosheheni silaha nzito za kivita alivyotinga kwenye uwanja wa Nyamagana kushuhudia mpira wa ndondo cup wakiwa mbele na nyuma huku vidole vikiwe kwenye trigger kabisa tayari kwa lolote! Je,, hizi ni sifaaaa au kitu gani! Sijamwelewa Uhuru kwa kweli!!
 
Attachments

  • IMG_20170714_151604.jpg
    IMG_20170714_151604.jpg
    135.1 KB · Views: 33
Kama ulimuona pale sabasaba kwenye uzinduzi asee ni kama wanasafirisha kontena la dhahabu.Ulinzi kama ule wa Obama alipokuja bongo

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Unamzungumzia G G KARIUKI ......alifariki kini....???
Mkuu sijui kafariki lini, lakini KBC walikuwa live leo mchana wakirusha sherehe ya kuuaga mwili wa marehemu kule County ya Laikipia!
 
Kama ulimuona pale sabasaba kwenye uzinduzi asee ni kama wanasafirisha kontena la dhahabu.Ulinzi kama ule wa Obama alipokuja bongo

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Huu wa kwetu ni balaa, mpaka najiuliza tuna tatizo gani sisi Watanzania lakini? Inawezekana upstairs hatuko vizuri tunahitaji kupimwa!! Yaani unamwona Uhuru hata alivyokuwa amekaa pale mbele amejichanganya na raia utafikri ni mkulima fulani hivi kaamua tu kuvaa suti!! Yaani hivi vijirisasi vya Kibiti ndo vinatufanya tujilinde kwa kiasi kikubwa namna hiyo? Haya ni matumizi mabaya ya raslimali fedha na watu! Ina maana sisi tunaogopa kurudia uchaguzi kiasi hicho? Hebu watu wabadilike bwana, mbona kila siku wanaimba nchi yetu ni ya amani? Sasa Al-shabaab wangekuwa kwetu si tungelindwa na battalion nzima kabisa!!
 
Uelewa.wenu mdogo tu kwenye maswala ya kiulinzi kwani usipoona askari waliovaa uniform maana yake hakuna ulinzi?? Au ulinzi ni kidogo??
 
Hujaelewa tunachomaanishaaaaaa!!
 
Huu wa kwetu ni balaa, mpaka najiuliza tuna tatizo gani sisi Watanzania lakini? Inawezekana upstairs hatuko vizuri tunahitaji kupimwa!! Yaani unamwona Uhuru hata alivyokuwa amekaa pale mbele amejichanganya na raia utafikri ni mkulima fulani hivi kaamua tu kuvaa suti!! Yaani hivi vijirisasi vya Kibiti ndo vinatufanya tujilinde kwa kiasi kikubwa namna hiyo? Haya ni matumizi mabaya ya raslimali fedha na watu! Ina maana sisi tunaogopa kurudia uchaguzi kiasi hicho? Hebu watu wabadilike bwana, mbona kila siku wanaimba nchi yetu ni ya amani? Sasa Al-shabaab wangekuwa kwetu si tungelindwa na battalion nzima kabisa!!
Rais wetu ni mkali kwenye maneno tuu ila kivitendo ni muoga kinoma
 
Kama ulimuona pale sabasaba kwenye uzinduzi asee ni kama wanasafirisha kontena la dhahabu.Ulinzi kama ule wa Obama alipokuja bongo

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kuna ubaya gani na yeye akilindwa kama obama !?
 
Uhuru bwana yuko fair sana..na ndio maana anaishi Kwa Amani..sio kwamba walinzi wake hawapo,wapo ila not to that extent!
 
Wakuu habari za wakati?

Leo mchana nilibahatika kufuatilia tukio la kuuaga mwili wa G.G. Kariuki, aliyepata kuwa waziri wa Ardhi na Makazi nchini Kenya, nikapatwa na mshangao kuona Rais Kipenzi cha Wakenya na Afrika Mashariki kwa ujumla akiwa huru kabisa bila kusimamiwa na magruned kwa nyuma au pembeni yake. Nikabaki najiuliza au kwenye misiba walinzi hawaruhusiwi au Usalama wa Kenya uko vizuri kuliko wa hapa kwetu? Kwa nini Rais kwetu akiwa anatoa neno lazima asimamiwe na walinzi nyuma yake na pembeni yake? Ina maana sisi nchi yetu siyo salama ki vile? Juzi tulishuhdia maaskari waliosheheni silaha nzito za kivita alivyotinga kwenye uwanja wa Nyamagana kushuhudia mpira wa ndondo cup wakiwa mbele na nyuma huku vidole vikiwe kwenye trigger kabisa tayari kwa lolote! Je,, hizi ni sifaaaa au kitu gani! Sijamwelewa Uhuru kwa kweli!!
Ingehamia huko Kenya basi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Uhuru mara nyingi anakatiza mitaa Nairobi akiwa peke ake.
 
Ulinzi wa Papa Francis ulishaona ulivyo mkali? Wakati ni kiongozi wa dini? Wewe mbona uko interested sana na ulinzi WA raisi ?usalama wa taifa msakeni huyu mleta mada na wote walioleta mada Kama hizi wadakeni. Muwaulize vizuri
 
Wakuu habari za wakati?

Leo mchana nilibahatika kufuatilia tukio la kuuaga mwili wa G.G. Kariuki, aliyepata kuwa waziri wa Ardhi na Makazi nchini Kenya, nikapatwa na mshangao kuona Rais Kipenzi cha Wakenya na Afrika Mashariki kwa ujumla akiwa huru kabisa bila kusimamiwa na magruned kwa nyuma au pembeni yake. Nikabaki najiuliza au kwenye misiba walinzi hawaruhusiwi au Usalama wa Kenya uko vizuri kuliko wa hapa kwetu? Kwa nini Rais kwetu akiwa anatoa neno lazima asimamiwe na walinzi nyuma yake na pembeni yake? Ina maana sisi nchi yetu siyo salama ki vile? Juzi tulishuhdia maaskari waliosheheni silaha nzito za kivita alivyotinga kwenye uwanja wa Nyamagana kushuhudia mpira wa ndondo cup wakiwa mbele na nyuma huku vidole vikiwe kwenye trigger kabisa tayari kwa lolote! Je,, hizi ni sifaaaa au kitu gani! Sijamwelewa Uhuru kwa kweli!!
ni desturi tu, hata mimi ningekuwa rais, hata kama hakuna hatari ningeweza ulinzi mkubwa kuliko ule wa magu. the more unavyoweka vipingamizi vya watu kukukuta the more you gain power. ipo kwenye laws of power kabisa.
 
Utadhan hakuchaguliwa na wananchi sie bna

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom