Tanzania na Uganda wasaini makubaliano (mikataba) yakuimarisha usafirishaji (uchukuzi)

mulisaaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
6,958
6,989
Uganda ya saini mikitaba yakuimarisha usafirishaji na Tanzania. Someni banner ya nyuma kwenye picha ya kushoto. Huwa tunawambia wakenya kuwa Uganda ya kwetu lakini hawaelewi. Mganda hawezi kumuacha Mtanzania. Museveni tumemlea sisi. Taasisi za serikali ya Uganda na Rwanda zina watanzania.
Screenshot_2017-07-13-15-45-42.png
 
Tukiweka na matatizo yalio anza kuipata SGR ya Kenya. Wanakila sababu yakukaa meza moja na Tanzania
Screenshot_2017-07-13-15-55-16.png
Screenshot_2017-07-13-15-52-05.png
 
Gonja ulevi wa Everton uwaishe, watakuja na mapanga na mikuki.

Hehehe!! Huwa mnatapatapa sana, mara ooh hatuwazi kuhusu Uganda mara oooh tumeisaini mikataba na Uganda ili kuboresha usafiri wetu kwetu kwenda kwao.

Mnafaa muboreshe usafiri bila kutegemea kusaini mikataba yoyote, iwaingie kwamba Waganda wanaotumia hizi bandari ni wafanya biashara na hawana huo upuzi wenu wa kuitana ndugu na kila mtu. Sisi tunafanya yetu kimya kimya na wanatufuata wenyewe, kwanza tumepania mikoa yenu ya Kaskazini na kanda ya ziwa, subirini hapo muone game.
 
Wewe endelea kuota tu, Uganda ni Tanzania na Tanzania ni Uganda waziri wa usafiri na miundombinu wa Uganda yupo Tanzania pamoja na ujumbe wake wenye watu 26 tumeshasaini mikataba ya kutosha tu kuhusu bandari na reli
 
Hehehe!! Huwa mnatapatapa sana, mara ooh hatuwazi kuhusu Uganda mara oooh tumeisaini mikataba na Uganda ili kuboresha usafiri wetu kwetu kwenda kwao.

Mnafaa muboreshe usafiri bila kutegemea kusaini mikataba yoyote, iwaingie kwamba Waganda wanaotumia hizi bandari ni wafanya biashara na hawana huo upuzi wenu wa kuitana ndugu na kila mtu. Sisi tunafanya yetu kimya kimya na wanatufuata wenyewe, kwanza tumepania mikoa yenu ya Kaskazini na kanda ya ziwa, subirini hapo muone game.

Matendo...matendo...matendo
Kifaa kinatua DRC na kuna tawi linapokeza Arusha
sgr-masterplan-jpg.459090
 
Ahaaaaa Bwana we...... acha nishereke timu ya EPL imecheza kwenye ardhi ya Tanzania kwanza kabla ya Kenya. Hiyo inatosha kunipa usingizi mnono.
 
Matendo...matendo...matendo
Kifaa kinatua DRC na kuna tawi linapokeza Arusha
sgr-masterplan-jpg.459090
Maisha yangekuwa simple hivyo ingekuwa raha sana. Pesa mnatoa wapi!? Wakati mnategemea msaada.
Sisi bongo pesa zetu. Na kuna shimo twalisubiri liteme. Mtajikojolea sana.
 
Ahaaaaa Bwana we...... acha nishereke timu ya EPL imecheza kwenye ardhi ya Tanzania kwanza kabla ya Kenya. Hiyo inatosha kunipa usingizi mnono.

Hehehe!! Kikubwa ni kwamba yale makelele yenu ya Simba na Yanga leo hayakuwepo maana kila kitu kimechukuliwa na wageni, yaani wageni wamekuja wakamiliki vyote, wafadhili na pia timu zote mbili. Sasa mnaishia kuwa na uwanja ambao wageni wanakuja na kukojoa humo na kugeuza.
 
Na hivi wakenya hamjui kama yale majanji ni carpet, mnakojoa kojoa tuu kila mahali.
 
Matendo...matendo...matendo
Kifaa kinatua DRC na kuna tawi linapokeza Arusha
sgr-masterplan-jpg.459090
Mkuu watanzania sio watu wazuri lakini. Bomba lamafuta wamebeba tukiwa namakubaliano. Jamani Tanzania.
FB_IMG_1499837375974.jpg
 
Uganda, Tanzania sign L.Victoria agreement

By David Lumu

Added 14th July 2017 04:51 AM

The greement will pave way for the effective use of the Dar-es-Salaam port by Uganda as an alternative route to the sea.

AGREEMENT | LAKE VICTORIA

A memorandum of understanding on joint cooperation for improvement of ports, Lake Victoria inland waterways and railway transport services has been signed between Uganda and Tanzania.

Margret Kafeero Awino is the head of public diplomacy at the Ministry of Foreign Affairs.

She said the joint cooperation agreement was signed by Prof. Makame Mbarawa, the Tanzanian minister of works, transport and communication and Aggrey Henry Bagiire, Uganda's state minister of works and transport.

The agreement was signed on July 13 in Tanzania.

Mbarawa said the joint cooperation agreement will pave way for effective use of the Dar-es-Salaam port by Uganda as an alternative route to the sea through the Central Corridor.

“He stated that this is a clear testimony to the importance that Uganda attaches to Dar-es-Salaam Port as a link in the Central Corridor linking Tanzania and Uganda. The minister pointed out that the current link to Uganda is through Lake Victoria which is limited since only two ferries are functioning,” a statement from the foreign affairs ministry said.

During the meeting in Tanzania, Ugandan and Tanzanian delegations also agreed to commit funds to procure additional ferries.

“The minister also emphasized the commitment of the Tanzanian government to developing the roads, ports and railways to facilitate transport of goods and stimulate economic activities within the two countries and the region.

"Government is therefore working with Tanzania Ports Authority to develop the Dar-es-Salam port to meet the demands of its customers,” the missive said further.

On his part, Kafeero said that Bagiire underscored the fact that Uganda has set a target of attaining a middle-income status by 2020.

“Bagiire emphasized that the Government of Uganda is desirous of the use of the Central Corridor to attain a middle income status. In this regard, the Uganda Government is building a new port at Bukasa, will rehabilitate the 11km road from Portbell to Kampala as well as refurbish about 250 train wagons to service transportation of goods through the Central Corridor,” the statement said.

The signing ceremony was witnessed by Oscar J. Edule, Charge D’Affairs of the Uganda High Commission in Dar-es-Salaam, Charles Kateba, the managing director Uganda Railways Corporation, Odrek Rwabogo of the TOMASI Group (also the Agent of Tanzania ports Authority in Uganda), among other officials.

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app

Uganda, Tanzania sign L.Victoria agreement
 
Mkuu watanzania sio watu wazuri lakini. Bomba lamafuta wamebeba tukiwa namakubaliano. Jamani Tanzania.View attachment 541661

Bomba la mafuta ni kiashirio tosha kuhusu nilichokisema kwamba mahesabu ya biashara hayana cha huo upuzi wenu wa kuita kila mtu ndugu, Total walifanya mahesabu yao na ikawa wazi ni bora na nafuu lipitie Tanzania.
 
mikoa ya kusini na magharibi endeleeni kusugua benchi
Hahaa umeona eh?
Hamna bwana kuna SGR inajengwa kutoka Mtwara kwenda SOngea ili kusafirisha makaa ya mawe (mchuchuma)
Hiyo ramani inaonyesha tu reli zenye umuhimu kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Hiyo ya kusini itafaidi zaidi nchi za SADC
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom