Quote gani ya Kitanzania kutoka kwa viongozi,wafanyabiashara,watu mashuhuri nchini unayoikubali...

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,158
2,000
" Education is not a way to escape poverty, it is a way of fighting it "

"Elimu sio njia ya kuukwepa umasikini, bali ni njia ya kupambana nao"

Mwalimu J.K Nyerere

# " Tabia ya kumpa mtu pole baada ya kazi ni Upuuzi, Badala yake aambiwe Hongera kwa kazi "
Edward Ngoyai Lowassa

# " Vita ya kupambana na ufisadi ni ngumu na hasa unapowabadilisha watu wachache waliozoea maisha fulani kwa miaka 50 "
Rais John Pombe Magufuli

....
karibu...
 

Poise

JF-Expert Member
May 31, 2016
7,544
2,000
Utandawazi ni sawa na mauji Kwa nchi zinazoendelea. Ni sawa na kumpambanisha mtu wa uzito wa juu na mtu mwenye uzito wa chini kwenye masumbwi. Hayati Mwl. JK Nyerere.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom