Kama jina lake lilivyo! Bahari mfu ama dead sea ni kama ziwa kubwa sio bahari na ina kiwango kikubwa cha chumvi inayoweza kumfanya mtu aelee! Chumvi yake ni 35% mara kumi zaidi ya chumvi ya maji...
Muingiliano huu wenye mipaka mwembamba mno ni jambo linalotekea lenyewe(automatically) yani mhusika hana amri juu yake!
Kwamba kwenye mwanga utafunga macho(giza) na kwenye giza utafungua...
Naandika uzi huu kwa woga mkubwa kwamba hapa Msata nilipo muda huu, watu wabaya wakiamua kunivamia na kuniua nitaweza kujinusuru kweli?
Uzalendo kwa Taifa ni tunu ambayo wengi hawana... Na...
Nashangaa watu wanatokwa mapovu Mara Magufuli ni chaguo la mungu
Mara anatetea wanyonge
Mara anatetea rasilimali za nchi
Mara mzalendo
Mara aongezewe muda wa kuongoza wakati hata miaka 2...
wanawake wanajua kuchambana kwakweli duh.... wewe verse ipi umeipenda?
Ocol rejects the old type.
He is in love with a modern woman,
He is in love with a beautiful girl
Who speaks English.
But...
Wadu kama kichwa cha habari kinavyojipambanua. mimi ni mwalimu niliyejiajiri. Nimeanzisha kituo cha elimu ya watu wazima(wale wanaosoma open and distance learning-ODL/QT na private candidates/pc)...
Akizungumza katika mahojiano maalumu na Nipashe jana, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Rober Boaz, alisema kwa kuanzia, wanamtafuta kwa udi na uvumba mtu aliyerekodi video...
Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali ina wajibu wa kuboresha mandhari ya bandari na huduma zake ili kuendelea kuwa msaada kwa nchi...
HALI ya mwenendo wa kubadilika badilika katika sekta ya mawasiliano ya simu ndiyo sababu ya msingi ya ubunifu na uboreshaji endelevu katika namna ambavyo waendeshaji wa mitandao ya simu...
Ukikunywa vikombe vitatu vya kahawa kwa siku unaweza kuishi miaka mingi, kwa mujibu wa utafiti uliofanyiwa karibu watu nusu milioni kutoka nchi 10 za Ulaya.
Utafiti huo uliochapishwa kwenye jarida...
hamjambo ndugu wote mulio huku ndani msaada kidogo katika hili mimi nna kiwanja kilichopimwa sqm 400 sasa kulingana na hali ya uchumi nimeshindwa kuanza nyumba kubwa yan my dream house sasa...
Kama kichwa cha habari kinavyojinasibu,
Nimeona Masamaki na wenzake wameachiwa huru na alikuwa na kesi ya uhujumi wa bil 12 (so anakwenda kuzitumbua vizuri tu) nimeona Liyumba alivyokwimba...
Jana usiku mishale ya saa nne kasoro usiku walitokea watu sita waliojitambulisha askali, walikuta kinyozi akinyoa na baadae mdada akascrab. Walipoingia saloon hawakutambua mtu walimhitaji...
Masamaki na wenzake 5 waliokuwa wameshitakiwa na serikalini kwa kosa la kuhujumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya sh. Bil 12.7 wameachiwa huru, Sasa Ina maana upotevu wa hizo pesa...
Wakuu, itifaki imezingatiwa.
Hii imeniacha na mshangao ukishabiana na maswali kadhaa, hivi "wamasai" ni kama wanyama ambao watalii huvutiwa nao kuja kuwatalii?
Hivi wamasai wamepewa status...
Katika siku, week na miezi ya hivi karibuni Tanzania tumebahatika kutembelewa na MaCelebrity wengi, ndio nasema wengi kwani hapo kabla ilikuwa nadra sana kutembelewa na jamii hii ya watu maarufu...
Ni hivi karibuni tumeshuhudia washika mpini wa ngazi za juu kabisa wakionesha uzalendo wao kwa kuwatumikia wanyonge.
Mkulu kakabidhiwa majengo na mkapa foundation kwenye kijiji cha wanyonge sana...
Aidha, imeonya walimu watakaopokea posho za kujikimu, lakini wasiripoti kuanza kazi katika vituo walivyopangiwa watachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza jana na waandishi wa habari...
Hatimaye hii kitu kwa wapenzi/mashabiki tuliokuwa tukiisubiria kwa hamu sasa itakuwa hadharani in no day from now,hapa tutakuwa tunapeana mikasa kwa lolote litakalokuwa limejitokeza kwenye hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.