Didas Nbc
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 472
- 319
Wadau mada inajieleza ..kwa nini hawa watu wanaojiita manabii na mitume wasiende vituo vya afya kufanya maombezi maana usanii wanaohufanya tumeuchoka
Na ndio maana unakta waumini wao ni maskni wa kutupwa
Watu nyie mnaojiita manabii na mitume fanyeni kazi ambayo Mungu amewatuma sio utapeli mnaotunyia
Na ndio maana unakta waumini wao ni maskni wa kutupwa
Watu nyie mnaojiita manabii na mitume fanyeni kazi ambayo Mungu amewatuma sio utapeli mnaotunyia