Pesa ndo kila kitu

Pesa ndo kila kitu

parasol

Member
Joined
Jul 11, 2017
Posts
30
Reaction score
55
Habariiini... Wakuu nkuwa nabisha Kuwa pesa si kila kitu.. Yaan asikudanganye mtu...pesa is everything mengine ni minor Case.tu. Yaan ukiwa., na hela ,ukisema wew ni Mungu watu wanakuamini. Watu tunatafuta pesa.bila kujua hapo hapo hapo tunatafuta Amani.. . We have to fight for money. Mana ndo amani. Tumshirikishe na maulana pia. I present""niko hapa kichakani nawaza kwa sauti.

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Weee

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Poa mkuu.

Ukiwa na pesa lakini hamna mpunga utalala njaa, Trust me
 
Mmmhhh apo INA depend ,,, kuna nyakati zinaponyeshwa na Pesa.

Some tunamtegemea Mungu .( hapa hata uwe Jack ma bado utapiga goti)

Nyingine Tunaitaji tu Upendo ..

( kwaufupi, ya Mungu tumuachie Mungu ,Ya kaisari tuyaache Kwa kaisari ). Otherwise nikutafuta kuumia tu.
 
Habariiini... Wakuu nkuwa nabisha Kuwa pesa si kila kitu.. Yaan asikudanganye mtu...pesa is everything mengine ni minor Case.tu. Yaan ukiwa., na hela ,ukisema wew ni Mungu watu wanakuamini. Watu tunatafuta pesa.bila kujua hapo hapo hapo tunatafuta Amani.. . We have to fight for money. Mana ndo amani. Tumshirikishe na maulana pia. I present""niko hapa kichakani nawaza kwa sauti.

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Emu kamwambie manji kule keko hii kauli kwa sasa uone atakujibu nini?
 
Habariiini... Wakuu nkuwa nabisha Kuwa pesa si kila kitu.. Yaan asikudanganye mtu...pesa is everything mengine ni minor Case.tu. Yaan ukiwa., na hela ,ukisema wew ni Mungu watu wanakuamini. Watu tunatafuta pesa.bila kujua hapo hapo hapo tunatafuta Amani.. . We have to fight for money. Mana ndo amani. Tumshirikishe na maulana pia. I present""niko hapa kichakani nawaza kwa sauti.

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Niko tofauti.pesa si kila kitu mkuu ila sasa ikikosekana kuna baadhi ya vitu hupungua.usiniulize vitu gani!

Jiulize wazee wa zamani mababu na mababu walikuwa nawatumia mijihela kununua vyakula??

Kuna kingine nilikuwa nataka kukisema lkni ngoja ninyamaze.ila pesa si kila kitu
 
No any problem can be solved by money

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Niko tofauti.pesa si kila kitu mkuu ila sasa ikikosekana kuna baadhi ya vitu hupungua.usiniulize vitu gani!

Jiulize wazee wa zamani mababu na mababu walikuwa nawatumia mijihela kununua vyakula??

Kuna kingine nilikuwa nataka kukisema lkni ngoja ninyamaze.ila pesa si kila kitu
Kiseme buana coz we are not responsible Kwa tunachokisema but also we are responsible hata kwakile tusichokisema ...

Embu funguka hapa watu waelewe.
 
Ukitumikia pesa utakuwa mtumwa utafanya mambo ya ajabu eti kisa unatafuta pesa, mwisho wa siku pesa sio kila kitu
 
Lilikuwa limgusa mtu ambae ashatangulia mbele ya haki ndo mana

Kwahiyo sitoweza kusema
 
Ukitumikia pesa utakuwa mtumwa utafanya mambo ya ajabu eti kisa unatafuta pesa, mwisho wa siku pesa sio kila kitu
Napinga.. Hata ukitumikia ..uvivu. Anasa etc utakuwa mtumwa navyo..negatively But kwa hela unakuwa bhas mtumwa positively... Na cyo kutafuta kwa njia ziczo sahihi..though we find money differently

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Tutafteni pesa jamani tuacheni masihara kwa kweli
Pesa pesa pesa ndo kila kitu.
 
Habariiini... Wakuu nkuwa nabisha Kuwa pesa si kila kitu.. Yaan asikudanganye mtu...pesa is everything mengine ni minor Case.tu. Yaan ukiwa., na hela ,ukisema wew ni Mungu watu wanakuamini. Watu tunatafuta pesa.bila kujua hapo hapo hapo tunatafuta Amani.. . We have to fight for money. Mana ndo amani. Tumshirikishe na maulana pia. I present""niko hapa kichakani nawaza kwa sauti.

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Uko kichakani,unajisaidia au?
Sina hakika kama pesa ndio kila kitu!
Mbona haijawahi kurudisha uhai wa kiumbe hai?

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe wew ukickia au kuona kichaka.. Unajickia kujisaidia... Wew ukiugua ucpokuwa na pesa za matibabu uhai unatwaliwa vizur tyu..so pia inarudisha uhai

Back
Top Bottom