Naamini umeshanijibu tega....." 12 wa NSSF ni wabadhirifu na 1 wao ni Malaika Mteule Malaysia "
Nasubiri jibu langu Mheshimiwa Rais na kama ukishindwa basi niruhusu nikupe mji. Na ukishamaliza...
Katika jamii yetu nimeshuhudia watu wakilalamika kuhusu uhalali wa vyeti vya wafanyakazi zaidi bila ya kujali uhalali wa elimu husika, kuna wahitimu wengi sana wana elimu feki na ushaidi upo...
Wakala wa kodi nchini Kenya (KRA) imetangaza orodha ya makanisa yanayopata mapato makubwa (sadaka, I guess). kisha kulipa kodi. Orodha hiyo inajumuisha makanisa ya Wasabato, waothodoksi, na...
Wanaotumia vituo vya mafuta ni wananchi, unapovifunga kwa wingi namna hii unalenga kuwaumiza watumiaji wa vituo hivyo zaidi kuliko wamiliki wake. Inakuwaje mtu asifikirie mateso yatakayowapata...
Leo tarehe 16/07/2017 ni sherehe ya siku ya NYOKA duniani.Kila tarehe 16/07 hufanyika sherehe kuwaadhimisha Nyoka duniani watu wa wanyama pori,snake farms,watu wa mazingira,wapenzi wa Nyoka nk...
Salam,
Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa taifa letu hili kwa kipindi chote cha awamu hii ya tano, na nimeona mambo ya kutisha na kuogofya sana.
Watu ambao walikuwa "untouchables", "weka mbali na...
Mfumo wa elimu wa Tanzania tuiteni Tanzanite. Haupatikani popote pengine duniani. Ni nchi gani nyingine ambayo wanafunzi wanasoma shule ya msingi kwa lugha ya taifa wakifika secondary...
Habari wanajamvi.
...
Kwenye mizani ya wiki Leo alikuwepo Mh ZITTO NA BORA(mchambuzi wa maswala ya sheria) wakizungumzia issue ya Tegeta Escrow....
Kiukwel hichi cha mizani ya wiki kimetengewa...
Mungu kaweka utaratibu mzuri sana. Malipo ni hapa hapa duniani
Wahenga wa juzi kati wansema ''Kuna maisha baada ya uchaguzi''
Star TV naikumbuka jinsi ilivyokuwa na upendeleo wa hali ya juu...
Habari wanajukwaa
Nimeona matatizo ya kisarufi katika magazeti yetu hapa nyumbani imebidi niseme.Tatizo ninalozungumzia haliathiri maudhui ya habari bali kwa wahariri walitazame vyema
Leo...
Wakuu,kwa mlio ona toleo la leo tarehe 12/7/2017
Habari picha kwenye ukurasa wa mbele wenye kichwa cha habari WAKAMATWE
chini yake kuna mapicha picha ambayo kimsingi hayana logic,ebu tuangalie...
"Watu-roho" wanapobebana wataruka pale walipo kwenda juu umbali kadhaa watafika kwenye njia maalum(Tabaka la hewa la usafiri) ambapo wataweza kuelea na kutembea sehemu wanayoitaka.
------Unapovuka...
Takribani miaka miwili sasa inaenda kukatika tangu tuingie Chini ya utawala wa Raisi JPM
Mengi yamefanywa chini ya utawala wake na mengine yanaendelea kufanywa Ndani ya Miaka hiyo miwili ili...
Jumapili iwe njema kwenu wakuu, siku za hivi karibuni natarajia kwenda Mbeya kwa mapumziko madogo, je, ni kampuni gani nzuri na uhakika ya mabasi kwenda huko.
Karibuni
Iki kipindi kinatufundisha umalaya tu hakina maadili ya Kitanzania kinafundisha umalaya tena kinarushwa mchana mweupe
www.tcra.go.tz
Kipindi kimaitwa Kizunguzungu
kina rushwa Swahili tv
Uganda ya saini mikitaba yakuimarisha usafirishaji na Tanzania. Someni banner ya nyuma kwenye picha ya kushoto. Huwa tunawambia wakenya kuwa Uganda ya kwetu lakini hawaelewi. Mganda hawezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.