Bwana Yesu asifiwe/Tumsifu Yesu Kristo/Mwanakondoo Ameshinda wadau wote wa jamii forum:
Kwa Leo tupeana shuhuda ya nini kilitokea katika maisha yako iwe kazini,shuleni,kwenye biashara kifupi ni matokeo gani uliyapata baada ya kukata shauri na kumpokea Yesu kuwa BWANA na mokozi wa maisha yako.
Tunapenda tujue matokeo gani uliyapata yawe mazuri kwa lengo la kutiana moyo au mabaya kwa lengo la kuendelea kuombeana.
Karibuni kwa shuhuda naomba kuwasilisha: