PWANI: Ofisi ya CCM yachomwa moto

PWANI: Ofisi ya CCM yachomwa moto

mnasema watu wa Pwani wazembe wakati atleast sasa watu wa Pwani ndio wanaonyesha uanamume ---- najaribu kufikiria tu..

Ukweli ni kwamba serikali inabidi ifanye uchunguzi kumaliza haya na sio maguvu yasio na maana..tunataka free politics kila mtu aexpress hisia zake..
 
Uanaume wa kuua watu na kufanya uharibifu?
Ukoserious kweli?
OK!!!
 
maccm yamefanya dhuluma kwa muda mrefu sana. Kinachoyatokea mi nayashauri yajirekebishe.
 
Noma sana

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
watajenga nyingine wanafedwa hao mabwana
 
Wako wapi hao magaidi wenzangu??
ninahamu ya kujiunga nao sana tu...big up.....there's no right without fi...
 
Back
Top Bottom