Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Eti kwa nyie mnaosoma magazeti nisaidieni, huko napo bado kuna matangazo ya nafasi za kazi? Maana mimi nilizoea ku browse ZoomTanzania kwa ajili ya nafasi za kazi lakini nashangaa siku hizi sioni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watanzania asilimia kubwa hawafaidiki na mtandao wa Facebook kimaisha,bali umekuwa mtandao kama kichaka cha watu (wanawake) kujitangaza, kujiuza na kufanya mapenzi sana na wanaume ambao wanajuana...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Wanajamvi haswa wachumi nilikuwa naomba kuuliza, hivi kwa mfano Tanzania ikiamua kufuta pesa zake zote na kuanzisha currency mpya labda tukaiita KIDAKA, sasa tukaamua kwamba dola moja iwe sawa na...
0 Reactions
105 Replies
18K Views
Je, Ni kwasababu Waarabu walivuna nguvu kazi yote na kuihamishia Bagamoyo Zanzibar na nchi za nje enzi za watumwa? Mngekuwa hamna thamani Waarabu wangewachukua Wazaramo na watu wa Pwani kupunguza...
10 Reactions
223 Replies
29K Views
Tunaona malalamiko ya baadhi ya viongozi kununuliwa Je la kiongozi kununua viongizi wenzie ndani ya chama chao wenywewe likoje Nawasilisha Post sent using JamiiForums mobile app
0 Reactions
3 Replies
644 Views
Je Mwanaume wa leo kwenda dukani na kumnunulia Mpenzi wake au Mkewe Nguo ya Ndani / Chupi / Underpants na Taulo za Kike / Sanitary Napkins / Sanitary Pads ni sahihi 100% au sisi Wanaume wa leo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa muda wako Fanya utafiti.. Utaamini .tafuta matajiri woote Tanzania.. Halafu angalia hali za madereva wao..ndiyo utajua bongo hakuna matajiri Bali wana Vijisenti tu Post sent using JamiiForums...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau kama nilivyoelezea hapo juu kwanini mwanaume anapotoa mahari mbona wazazi wa mwanamke hawaendi TRA kulipia taxes nahisi hii itasaidia kuongeza mapato kwa serikali yetu
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Salute!... Niombe kujua kama kuna sababu zozote kisayansi zinapelekea hali hii kutokea.Nimeona kuna watu wazima (wasio watoto) kuangua vilio kabla na wakati wa kuchomwa sindano hata kama maumivu...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Utalii unazidi kupaa nchini Tanzania kwa speed ya 4G
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Maendeleo yote yataanzia hapa. Mtu ambaye hana chakula, hashibi huwezi kustawi kwa chochote! Tufanyeje sasa ili kila Mdomo wa Mtanzania upate chakula cha kula? Naomba tuanzie hapa. Mimi naanza...
0 Reactions
1 Replies
628 Views
SAID Mrisho aliyetobolewa macho na scopion Buguruni afunguka mikasa inayo tokea na mke wake LIVE CLOUDS FM. saidi aeleza kuwa familia yake haimkubali mke wake huyo ambaye alizaa naye kutokana na...
4 Reactions
90 Replies
14K Views
Huyu Mwenyekiti wa TAPSEA analeta utani'. Wafanyabiashara ndogondogo wengi wakiwemo wenye' maduka madogomadogo kabisa wameweza kununua EFD machines. Sembuse wa' watembelea mashangingi!? Utani'...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Basi ka Kiazi Arusha Mwanza Limepata Ajali Makuyuni Arusha Wenye ndugu, rafiki, jamaa waliokuwa wanasafiri kwenda Mwanza, Shinyanga nk fuatilieni maana sikuweza kusikia kama kuna majeruhi au vifo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanaafrica mashariki wamelipuka baada ya gazeti maarufu la Daily mail la nchini uingereza kuandika katika moja ya statement zake wakieleza uwepo wa mashabiki waliokua wakimshangilia mchezaji wa...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Basi ka Kiazi Arusha Mwanza Limepata Ajali Makuyuni Arusha Wenye ndugu, rafiki, jamaa waliokuwa wanasafiri kwenda Mwanza, Shinyanga nk fuatilieni maana sikuweza kusikia kama kuna majeruhi au vifo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajukwaa salaam. Nimefurahi mno mara baada ya kuona taarifa kwamba wale mapacha walioungana wamefaulu mtijani,Mungu ashukuriwe. Ninachoona kwa sasa ili kuinua afya ya taaluma yao na mustakabali...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau, mimi ni mjasiria mali ambae nilikuwa nataka kufungua kampuni yangu, kwa utaratibu wa BRELA unatakiwa ulete proposal ya jina la kampuni yako na system yao inafanya search ili kuhakiki jina...
0 Reactions
3 Replies
981 Views
Mfano upo kazini, na labda muda mfupi uliopita ulikuwa shule unasoma kozi fulani. Uliokuwa unasoma nao ambao hawatokei kazini ukamaliza nao kozi hiyo na ajira zikatoka kwa wale wanaotokea shuleni...
0 Reactions
7 Replies
939 Views
(NBAA) BODI YA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA HESABU TANZANIA TAARIFA KWA UMMA KUFANYA KAZI ZA UHASIBU AU UKAGUZI WA HESABU BILA KUSAJILIWA NA BODI Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA)...
1 Reactions
26 Replies
9K Views
Back
Top Bottom