Daraja2
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 285
- 346
"Watu-roho" wanapobebana wataruka pale walipo kwenda juu umbali kadhaa watafika kwenye njia maalum(Tabaka la hewa la usafiri) ambapo wataweza kuelea na kutembea sehemu wanayoitaka.
------Unapovuka anga ya ulimwengu wa roho unaingia kwenye Tabaka la hewa jingine ambalo ni zito sana,ukishalivuka Tabaka hilo ndipo utakapo ingia Tabaka la hewa la duniani (kama lengo lako ni kuelekea duniani)na utaanza kuziona nchi mbali-mbali zilizopo duniani kwa upande wa chini utaona mandhari nzuri za kupendeza kama vile bahari,maziwa,mito,misitu,maghorofa na nyumba za kawaida.
-------Tabaka la hewa la kati(kati ya dunia na ulimwengu wa roho) ambalo ni zito pia linazuia vitu vichafu kuufikia ulimwengu wa roho lakini kwa roho njema za binadamu tu linakuwa jepesi kama karatasi.
Post sent using JamiiForums mobile app