Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Takribani miaka miwili sasa inaenda kukatika tangu tuingie Chini ya utawala wa Raisi JPM
Mengi yamefanywa chini ya utawala wake na mengine yanaendelea kufanywa Ndani ya Miaka hiyo miwili ili kuijenga Nchi yetu ya Tanzania,
Ni mapema mno kupima matokeo yake na sio vibaya kuoji kama Ametekeleza au kuanza kutekeleza Ahadi zake za wakati wa kampeni,
Je ndani ya hiyo miaka miwili tuangalie hapa Raisi wetu JPM amefanya lipi katika taifa ili kuweza kutuzogeza japo hatua moja Mbele,?
Bila kusahau kukosoa pia kwa Yale unayoyaona yanaweza kutubagua sisi kama Taifa moja lenye Uhuru na Amani?
Na tushauri hapa kipi kifanyike Ndani ya miaka mitatu iliyobaki ya utawala wake ili tuweze kupiga hatua.
Watanzania wanajua kwamba kazi ya Uraisi Ni ngumu kweli kweli asa pale unapotakiwa kuongoza watu zaidi ya Milioni 50 wenye Mtazamo na itikadi tofauti,!
Mawazo ya wengi ndio mawazo ya Mungu Tanzania Moja,Taifa Moja.