GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,736
- 128,247
Naamini umeshanijibu tega....." 12 wa NSSF ni wabadhirifu na 1 wao ni Malaika Mteule Malaysia "
Nasubiri jibu langu Mheshimiwa Rais na kama ukishindwa basi niruhusu nikupe mji. Na ukishamaliza kunijibu kama hutojali Mheshimiwa Rais nitaomba utumalizie huu ' ubishi ' wetu ambao sasa hivi asubuhi tu hapa ' Kijiweni ' umetuchanganya.
Eti Mheshimiwa Rais inawezakana kabisa ukawa na ' Kapu ' la ' Samaki ' kama 13 halafu ' Samaki ' 12 wakawa ' wameoza ' na huyo ' Samaki ' mmoja akawa mzima?
Tunasubiri utujibu Mheshimiwa Rais ili utumalizie huu ' ubishi ' hapa ' Kijiweni ' kisha tuanze ' Kutawanyika ' kwenda ' Kuwajibika ' ili tukukusanyie Wewe na Waziri Mpango ' Kodi ' yenu ili basi angalau kwa mwezi huu ujao ' makusanyo ' ya TRA yapande kutoka 14.4 Trillion yapande hadi 16 Trillion.
Nikutakie tu ' Mapumziko ' mema huko ' Kijijini ' Kwako ' Chato ' na hongera pia kwa ' kutupia ' picha jana ukiwa ' umembeba ' sijui Mwanao yule au Mjukuu huku akiwa ameshikilia ' ufunguo ' wa Gari. Umeonyesha kuwa Wewe siyo tu ni Rais bali pia ni Mzazi mzuri.
Nawasilisha.