Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,702
- 3,839
Habari wanajukwaa
Nimeona matatizo ya kisarufi katika magazeti yetu hapa nyumbani imebidi niseme.Tatizo ninalozungumzia haliathiri maudhui ya habari bali kwa wahariri walitazame vyema
Leo nimeona gazeti la Uhuru likiwa limeandikwa.............chadema..........,mara kadhaa wahariri hapa nyumbani hawafuati taratibu za uandishi,hivi unaandikaje kifupi cha maneno kwa herufi ndogo?
Mfano wanaandika takukuru,ccm,cuf yaani hadi aibu