Star TV kwenye azam tv

Big Dy

JF-Expert Member
Dec 23, 2015
467
541
Nini imeikumba chanel ya start TV kwenye king'amuzi cha azam TV?

Kazi ni Kazi
 
Umejuaje haipo maana waonekana huwa hutizami habari kama hiyo TV ishaisoma namba.. No longer at easy...

Kama ile hadithi ya mama aliyemtembelea mwanae chuo na kukuta room yake analala na mdada mzuri kweli... jamaa akajitetea kuwa ni room mate mwenzie tu na huwa hawalali pamoja kila mmoja analala Kitanda chake mother akatulia tu na kesho yake akondoka zake. yule binti akamuambia Rafiki wake kuwa kuna sahani imepotea tokea mama yake yule kaka Aondoke imepita wiki akiitafuta bila kuiona Demu akakaza kuwa Mama wa room mate ndie kaiba..

Jamaa akaandika barua kali kwa Mama yake kuwa kuna sahani imepotea tu tokea alipoondoka yeye.. mama nae akamjibu Mwanangu najua hamlali Kitanda kimoja na Huyo binti ila sahani sijaichukua bali Sahani niliiweka chini ya shuka kwenye Kitanda cha huyo Dada..!
 
Back
Top Bottom