Wewe ni mwenyeji wa pande za Mby?Dar lux au Rungwe express
NdiyoWewe ni mwenyeji wa pande za Mby?
-Ndumilakuwili-
Acha apande basi aijue nchi yake. Mwewe labda wakati wa kurudi.Kama unaenda mapumziko kula mwewe.
Tutafutane basiNdiyo
SawaAcha apande basi aijue nchi yake. Mwewe labda wakati wa kurudi.
Kabisa mkuu kwa basi nadhani nitajifunza mengiAcha apande basi aijue nchi yake. Mwewe labda wakati wa kurudi.
Asante mkuu kwa ushauriKuna Golden deer no 1 inaenda hadi TUNDUMA na Kizbo inaishia Mbeya kama unataka kuwahi kufika. Ila kama unataka kufika muda wowote panda basi lolote la Mbeya
Ndege ya Ardhini,hutojutia pesa yako,nilipanda hili nilipokuja Mbeya hivi karibuni na nategemea kutumia usafiri huu nitakaporudi Dar.Dar lux ni bus zuri sana