Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,113
Salam,
Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa taifa letu hili kwa kipindi chote cha awamu hii ya tano, na nimeona mambo ya kutisha na kuogofya sana.
Watu ambao walikuwa "untouchables", "weka mbali na watoto" wote ndo wamezijaza mahabusu za Tanzania.
Sina sababu ya kuwataja kwa majina lakini Naaamini wanajulikana. Wengine walikuwa na biashara halali, wingine walijikuta kwenye mkumbo wa ubadhilifu (ambao Nadhani hakuna ambaye angepona Kati yetu), wengine walikuwa watumishi wa sekta nyeti na walikuwa na mchango mkubwa kwenye ukuaji wa serikali, wengine walikuwa wapigaji kweli kweli....Leo wapo stoo.
Hata hawa tunaowaona ni wateule na wanapiga ipaswavyo mpaka tunawatamani.... It is just a matter of time.
Nautamani sana utajiri, na haswa wa Dili.... Yaani kupiga umangula asubuhi, jioni umetoka.
Lakini kwa utaratibu huu,... Hebu naomba nitulize njaa yangu kwanza. Maana isije nipeleka keko.
Kwa sababu hata ukipiga cha halali kipindi hiki haupati Kama zamani. Ukipata sana utajenga kibanda na kumiliki Kagari kamoja....
Mungu nipe wa kiasi, nipate kula na familia, kulala vizuri na kutoa mahitaji muhimu na usinipe wa kuwafukunyua wafukunyuzi. Amen..
Bado kuna wanaouhitaji utajiri wa awamu zilizopita??