Tunakusanya mapato
In God we trust
Nauli ya mabasi itapanda,gharama za usafirishaji bidhaa zitapanda na uzalishaji utashuka na wafanyakazi watashindwa kufika kazini kwa muda hapo ndio tutaongeza mapatoHalafu sasa wanalalamika kuuzwa lita 1 kwa 3500 mtaani.
Kufa kufaana. Wakiendelea kubana hiv itafika 5000 per litre
Kwani wewe hapo umeelewaje hiyo picha?
In God we trust