Muhenga aliyesema umasikini si wa kuukubali.
Watu wanaisho maisha magumu ambayo ingekuwa ni wazungu wangeyakataa lakini wao wana furaha sana wanacheza ngoma mitaani.
Si CCM, si CHADEMA, si CUF...
Habarini,jamani nilinunua kiroba cha mchele sehemu nayoiamini kabisa ila cha kushangaza nao ni plastic vile vile.
Nkidunda yani unadundika,msaada kwa anaejua jinsi ya kuangalia mchele wa plastic...
Siku moja baada ya mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa kusema atagombea tena urais katika uchaguzi ujao, CCM imesema inamsubiri na ina uhakika itamshinda tena.
Mbali na CCM...
Huu mtandao pendwa wa tigo 4g speed yake sio ya kimchezo mchezo
Tigo wapo vizuri sana kuliko hata voda
Voda mb zinayeyuka fastaa, ila tigo raha sana hawakati hovyo
Tigo wakiweka minara ya kutosha...
Dar es Salaam. Thamani ya mauzo ya hisa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) yalipungua kwa asilimia 35 wiki iliyopita huku Benki ya CRDB ikinufaika kutokana na kupanda kwa bei.
Hisa moja ya...
Ikiwa ni siku tatu tangu kutangazwa kwa matokeo ya kidato cha sita, Shule ya Sekondari ya Njombe imelilalamikia Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) ikidai matokeo hayo hayaendani na wastani...
Baada ya kutangazwa kila atakaekutwa anaoshewa gari analipa laki mbili ama 200'000
Sasa n wazi kuna vijana wanavamia magari ya WATU nakuanza kuyaosha pasiporuhusiwa na baada ya sekunde huja MTU...
Wamerusha tena habari za baba wa Dsm wakati TEF walipiga marufuku sasa sijui inakuwaje?
Au ndo kutafuta uhenga????
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Salaam
Kama kichwa kinavyoeleza ni mwaka wa pili sasa serikali haijatoa ajira wala kupandisha mishahara na vyeo kwa watumishi kwa kigezo kwamba bado inafanya uhakiki wa watumishi hewa hakuna...
Habari wana JF,
Leo tarehe 18/07/2017 majira ya mchana(saa 6 hadi saa 7 mchana)
Hali sio nzuri kama kichwa cha habari kinavyoelezea. Kwa wateja wa bank zinazotumia ATM za UMOJA hasa wateja wa BOA...
Habari wakuu,
Tokea umejiunga Jf umejifunza nini.?Na imekusaidia nini katika maisha yako ukizingatia kuna majukwaa tofauti tofauti.
Binafsi nimejifunza mbinu mbali mbali jinsi ya kukabiliana na...
Mapato yatokanayo na mitandao ya simu yameshuka Barani Afrika kuanzia mwaka 2013 kufuatia kuingia kwa teknolojia ya mawasiliano kwa njia ya WhatsApp.
Utafiti unaonesha kuwa watumiaji wa mitandao...
Wakuu,
Wapi mtandaoni ninapoweza kupata ramani zinazoonesha mgawanyo wa tarafa,kata na vijiji vya Wilaya ya Busega mkoani Simiyu?
Kwa mwenye kujua wavuti husika,naomba anitajie!
Na kwa wale wenye...
Kumbe toka 2004 tulikuwa tuna haki ya kimkataba ya kuachana na hili jinamizi, lakini mtu anapendekeza kutuhonga punguzo la Capacity Charges toka billioni 5.2 mpaka billioni 2.6 ili tusiitumie ile...
Makampuni makubwa ya usafirishaji ya ndege duniani yanavunja rekodi ya hasara katika biashara kwenye sekta husika!
Je tumeoder deamliner zije kututia hasara au ni za kufugia kuku wa kienyeji...
Kifaru cha jeshi kaiga kobe na konokono wa baharini
Yale mandege stealth ya USA kaiga kwa popo
Gari kaiga Farasi
Ndege kaiga Tai
Nyambizi kaiga Dolphins
Mfumo wa uendeshaji ktk gari i.e.mfumo...
Wakuu nimelazimika kuwauliza suali hili, baada yakuona ugonjwa huu wa malaria unavo leta maafa kwa binadamu na jinsi waganga wakienyeji wanavo wahakikishia wananchi kuwa wao wanauwezo mkubwa...
Ndugu wana janvi naomba kujuzw kwa yule anayefahamu basi zuri linalofanya safari za dar to bukoba kila siku maana natarajia kusafiri kwenda uko ila ni mda mrefu sijaenda hivyo sina ufahamu mzuri...
Watoto wanne wa familia tofauti wamefariki baada ya kuingia kwenye gari ndogo lililoachwa mlango mmoja wazi huko Zanzibar na milango kuji lock walipokuwa ndani kwa kukosa hewa safi na Salama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.