Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu wana janvi naomba kujuzw kwa yule anayefahamu basi zuri linalofanya safari za dar to bukoba kila siku maana natarajia kusafiri kwenda uko ila ni mda mrefu sijaenda hivyo sina ufahamu mzuri...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Watoto wanne wa familia tofauti wamefariki baada ya kuingia kwenye gari ndogo lililoachwa mlango mmoja wazi huko Zanzibar na milango kuji lock walipokuwa ndani kwa kukosa hewa safi na Salama...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
12 Replies
2K Views
1.Roho ipi ya kwanza kuingia ulimwengu wa roho? Roho ya mwanamke mwema ndiyo ya kwanza kufika katika ulimwengu wa roho.Roho ya mwanaume mwema inapofika katika ulimwengu wa roho inaikuta tayari...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Ndugu zangu! Naombeni mnitoe tongotongo! Mara nyingi nasikia askofu mkuu Wa jimbo la dar es salaam anaitwa muadhama kardinali polyicarp pengo! Sasa huwa sielewi neno Muadhama ni cheo au jina...
1 Reactions
31 Replies
11K Views
Hongera kwa shule 4 bora Katika 10 kwa kutoka Mkoa wa Pwani Kuna jambo la kujifunza kutoka Pwani!
4 Reactions
89 Replies
29K Views
Kama unadhani wale ni paka wanyama unaowafahamu tafakari mara mbili....wengi pale ni binadamu kwenye umbo la mnyama Wale paka wana vituko mwanzo mwisho ....kitimoto ni haramu kwa paka! Pilipili...
17 Reactions
141 Replies
18K Views
Bweni la wasichana wa shule ya sekondari Bunambiyu Wilayani Kishapu limeteketea kwa moto leo. Wilaya ya Kishapu ni wilaya moja ya Mkoa wa Shinyanga Magodoro 36, vitanda 15 pamoja na Mali...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
MIMI NAKAA MBEZI BEACH DSM.NATAFUTA SEHEMU AMBAYO KUNA KITUO AU MTU BINAFSI ATAKAYENIFUNDISHA JINSI YA KUPIGA KINANDA.SEHEMU HIYO YA KUJIFUNZIA IWE MAENEO YA MBEZI BEACH,AU TEGETA NA AU MWENGE.KWA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watoto wanne wenye Umri wa Miaka kati ya Miwili na Mitatu wa Familia tofauti Mjini Unguja, wamefariki dunia baada ya kushindwa kutoka nje ya gari walilokuwemo kutokana na milango ya gari hiyo...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Hahaha yani nimecheka eti watu wanaolipa ada mil 9 na wanaosoma bure wote wapo top 10. Wazazi acheni kupoteza pesa shule za magu za bure zatosha. Nawasilisha
19 Reactions
160 Replies
22K Views
Printer yangu aina ya EPSON L220, imegoma kuprint, na inaonesha ujumbe ufuatao; "Printer's ink pads are at the end of their service life. Please contact Epson Support." Nisaidieni namna ya...
0 Reactions
1 Replies
845 Views
Anazingua kinoma mara sauti ibust mara iwe chini. Bure kabisa huyo,tafuteni mtu competent au mpelekeni akasome,news inaboa hasa wakati wa matangazo mtu unashikilia remote controller kila wakati...
0 Reactions
11 Replies
984 Views
Wakuu habari ya jioni,kuna jambo linanichanganya sana akili.Miaka 2 iliyopita nilinunua uwanja kwa ajiri ya ujenzi wa makazi,nililipa pesa robo tatu ya gharama zote.tuliiandikishana mbele ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi awali ya yote ningependa kuwatakia Week End njema baada ya kuangaika na harakati za kutafuta riziki, Labda niende kwenye mada moja kwa moja siku ya leo nilienda kulipa kodi ya...
6 Reactions
74 Replies
14K Views
Habari za wakati wakuu. Ngoja twende moja kwa moja kwenye mada yetu. Imekua ni utaratibu wa kawaida kwa wanandoa kuvishana Pete kidoleni wakati wa kufunga ndoa kanisani.Ikimaanisha kula yamini...
1 Reactions
36 Replies
7K Views
Ingweeeeeee!!!, . Nakumbuka kuna muda hua ajali na majanga vinashamiri sana kitaifa na hata kimataifa.Kuna wakati hua ndege nyingi zinaripotiwa kuanguka sehem mbali mbali duniani na kusababisha...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Watanzania wametakiwa kujiwekea utaratibu wa kuangalia afya zao mara kwa mara ili kuhakikisha wakati wote afya zinakuwa salama. Rai hiyo imetolewa leo Jumatatu, Julai 17 na Katibu...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Udanganyifu shule binafsi ni mkubwa sana. Mama ndalichako kazi unayo tena kubwa. Haiwezekani shule iwe ya tatu kitaifa mwaka mmoja baadae iwe nafasi ya mwisho kabisa. Alliance girls mwaka 2016...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom