Naupenda sana mtandao wa tigo asikwambie mtu

Ray waniache

JF-Expert Member
Jan 25, 2017
737
507
Huu mtandao pendwa wa tigo 4g speed yake sio ya kimchezo mchezo
Tigo wapo vizuri sana kuliko hata voda
Voda mb zinayeyuka fastaa, ila tigo raha sana hawakati hovyo
Tigo wakiweka minara ya kutosha maeneo ambayo hamna minara
4g speed yake weka mbali na watoto
 
Hata voda wapo vizuri mkuu, tigo wapo zaidi mijini voda wameenda mbali kiasi. Tena ungejua vimb vya tigo vinaenda fasta kwa upande wangu kuliko voda mfano jana nilijiunga voda 2GB nikaangalia movie kama 4 hivi online na nikaingia youtube vya kutosha lakini nimebakiza 350MB hadi sasa...

Naikubali mitandao yote (tigo na voda) kwa speed ya net lakini voda wapo vizuri kwa mb kwenda kidogo kidogo kuliko tigo.
 
Siku ukijaribu TTCL utaitupa hiyo line ya Tigo jaza ujazwe
 
Hivi Zantel nao wapoje? nasikia wana 4G natamani kujiunga nao lakini sijui vifurushi vyao vikoje
 
Hata voda wapo vizuri mkuu, tigo wapo zaidi mijini voda wameenda mbali kiasi. Tena ungejua vimb vya tigo vinaenda fasta kwa upande wangu kuliko voda mfano jana nilijiunga voda 2GB nikaangalia movie kama 4 hivi online na nikaingia youtube vya kutosha lakini nimebakiza 350MB hadi sasa...

Naikubali mitandao yote (tigo na voda) kwa speed ya net lakini voda wapo vizuri kwa mb kwenda kidogo kidogo kuliko tigo.
kiukwel voda hazikai kbs
 
Back
Top Bottom