MPHINGU
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 518
- 617
Wakuu nimelazimika kuwauliza suali hili, baada yakuona ugonjwa huu wa malaria unavo leta maafa kwa binadamu na jinsi waganga wakienyeji wanavo wahakikishia wananchi kuwa wao wanauwezo mkubwa wakutibu Malaria kwa kutumia mitishamba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app