Kitu kimoja magufuli anatakiwa afanye ili aheshimiwe ni awaweke ndani Maraisi wote waliopita. Haiwezekani waziri afanye ufisadi halafu ikulu isijue.mikataba yote ya madini nchini itungwe halafu...
Leo nilishuhudia rais wetu mstaafu jakaya kikwete akihutubia katika misa ya kuaga mwili wa mwansiasa Nicholas biwott nchini kenya.
Nimetamani sana jinsi mh jk alivyo mchangamfu kweli maisha...
Leo nimesikitika sana Na chozi lilinitoka... Asubuh nilikwenda katika hospital ya ushiromboj kumpeleka mgonjwa wangu nikakuta hali ya taharuki kwa wauguzi Na wafanyakazi wengine apo hospitalin...
Hawa watu wako Tanzania kutalii, wametokea Kenya ila wanashangaa Tanzania kuzuri zaidi ya Kenya. Sijui safari hii utalii watawatumiaje watu hawa ili kuweza kusafisha nyota ya nchi huko majuu...
Katika hali isiyo ya kawaida kabisa na ambayo imewashtua wengi muda si mrefu waandaaji wa michuano iliyojizolea umaarufu nchini ya Ndondo Cup wametoa taarifa yao kwamba kwa masikitiko makubwa na...
Wanajukwaa.
Salamu za jioni,Nina rafiki yangu aishie mwanza anaomba ushauri juu ya tatzo lake nini afanye pengne kwa msaada toka kwenu mkasa wake upo hivi.
Trh 21.02.2017 majira ya saa10 na 30...
Hii bia matata ya mwendokasi ambayo imekuja kwa kasi ya hatari ndani ya muda mchache na kututeka wadau ghafla imeadimika mtaani.
Unaweza ukazunguka zaidi ya bar tani usikute kabisa, Je ni huku...
Hii nchi Tanzania ni yangu toka kwa mababu na mababu. Wewe kuwa kiongozi haikufanyi niishi jinsi unavyotaka wewe.
Heshima nitakupa lakini sio kunipangia maneno ya kuongea.Na haki kutoa mawazo...
Kesi ya unyang’anyi na kujeruhi inayomkabili Salum Njetwe 'Scorpion' imeahirishwa hadi August 2 shahidi asema alilazimishwa kusaini nyaraka.
16:57
Ndugu zangu hali ni tete vifurushi vya channel ni ghali sana ukifananisha na nchi za jirani mpaka tunachoka akili
Startimes dishi cha nyota channel 18 tu unalipa 9000 tena siku hizi kinakaa wiki...
Wakuu,
Nimechoka na Hii "vicious circle of poverty"!
Kipato Nikipatacho,80%,huishia kulipa madeni ya nyuma na matumizi yasiyo na tija!
Uwekezaji kwangu ni mtihani!
Inafikia Kipindi Nahoji:Hivi...
Msitu Huu Uko Wilayani Itilima Karibu na Mto Simiyu Ambao Ndio Mpaka Kati ya Wilaya za Itilima na Meatu.
Msitu Huu Unasifa Zifuatazo:
a)Unamilikiwa na Andrew Chenge Nyoka wa Makengeza
b)Msitu Huu...
Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la SULTAN YUSUPH, ambaye alikuwa utingo, mkazi wa Kibaha Mkoani Pwani,amefariki dunia baada ya lori aina ya Howo kupinduka katika Kijiji cha Gumbiro Wilaya ya...
Wakuu nawasalimu
Hivi chumba cha mateso police sana sana anaingizwa mtuhumiwa wa kosa gani? Au mtuhumiwa wa makosa yoyote anaweza pelekwa humo kwa ajili ya kusema ukweli wa jambo flani?
Na je...
Ndugu zangu,
Napata taabu sana kuhusu kufungiwa kwa Star tv katika matangazo yake ya televion. Kuna baadhi ya vipindi huwa napenda kuvifuatilia, mf: BBC Swahili n.k..lakini kulingana na...
Mtu Mmoja anaekadiliwa kuwa umri wa miaka 33 mkazi wa kijiji cha Iseni kata ya Lwamgasa Mkoani Geita amenusurika kupoteza maisha baada ya kutekwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi kisha...
Imeelezwa tangu tanzania ilipojitoa rasmi katika jumuiya za nchi wafanyabiashara kusini mwa bara la afrika(COMMESA)imepelekea kuyumba kwa soko la zao la Tumbaku baada ya wanunuzi wa zao hilo...
Kwema wakuu,
Hii ishu nimekua nikikutana nayo sehemu nyingi lkn juzi imezidi,baada ya mihangaiko yng niliamua kwenda bar flan kwenda kupiga mbili Tatu,sasa kilichoniboa ni aina ya muziki walokua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.