Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Yule jamaa alietobolewa MACHO na Scorpion ameamua kumaliza utata kwa kumgawia mali mzazi mwenzie...[emoji122] Chanzo GlobalPublishers.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii imeshakuwa ni kawaida sasa, utasikia VITUO vya REDIO (kila mmoja anavifahamu) vikitoa Matangazo ya Mtu/watu fulani, kufuturisha. Swala la Mtu kufuturisha ni SADAKA Kwa Mtu/Jamii fulani...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Je, umeshawahi kula mchele feki wa plastic toka China? Wajua madhara yake? Hawa wachina huku walikofikia sasa ni kuimaliza dunia. Kuna mchele unaitwa Milagrosa Dyne Super Rice ambao unasambazwa...
3 Reactions
29 Replies
17K Views
Hii hatari sana,lakini Mamlaka ya chakula na Dawa (TFDA)wanasema hawana taarifa yoyote rasmi ya kuwepo kwa mchele aina hiyo wa plastiki hapa nchini. Lakini pia taasisi hiyo ya TFDA inawaasa...
13 Reactions
178 Replies
23K Views
MCHUNGAJI WA KANISA LA KIPENTEKOSTE AMESEMA KUWA NI RAHISI KUFANYA NGONO NA WASICHANA WANAOKWENDA KANISANI KULIKO AMBAO HAWAENDI KANISANI. Mchungaji wa Kanisa la Kipentekoste huko Afrika Kusini...
1 Reactions
17 Replies
9K Views
Jamani salamu zenu. Naanza kwa kuipongeza serikali hii kwa namna inavyotafuta mapato kutoka vyanzo vya ndani,safi. Pili ni kuhusu hali ilivyo tangu redio free Afrika ifungiwe kwa kutokulipa kodi...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau, Kituo cha televisheni cha chanel ten leo katika taarifa ya habari ya saa mmoja imeendelea kumpa coverage Paul Makonda pamoja na katazo lililotolewa na chama cha wanahabari Tanzania, je...
0 Reactions
1 Replies
994 Views
Kaimu katibu Idara Vyuo na Vyuo Vikuu ndugu Daniel Moses Zenda akiongoza shughuliza kijamii "kutembelea kituo cha Watoto waliofanyiwa Ukatili" kiitwacho Foundation Karibu Tanzania kilichopo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mida ya saa nane nimekuta ajali ya bus la Mwendokasi likiwa limemtandika pikipiki, dereva wa pikipiki alionekana mzima tu sijui alichomokaje pale, ilikuwa ni njia panda ya barabara ya morogoro na...
4 Reactions
22 Replies
5K Views
Nimeshangaa sana kuwa kuna mambo sisi wengine hatuyafahamu ila kwa watu wengine ni mambo ya msingi. Nikiwa Bank Flani leo asubuhi nikisubiri huduma maalum nikawa nimekaa na wadada wawili warembo...
9 Reactions
62 Replies
12K Views
Zoezi linaloendelea sasa ni vijana wa TRA kufunga vituo vyote vya mafuta ambavyo havina mashine ya VAT iliyounganishwa Direct na [emoji618]️ pump Tayari Delina na Lake oil wameshapigwa utepe...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Utakuta madereva wa mwendo kasi ikifika mida ya jioni wakishajaza watu uko kituo cha gerezani basi wao mwendo mdundo kusimama awataki kabisaa nikero tupu Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Leo tena huko kijiji cha Nguruka wilaya ya Uvinza mkoa wa Kigoma wakati wa hafla za uzinduzi wa kituo cha afya, Rais wa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa John Magufuli amempigia simu...
9 Reactions
63 Replies
11K Views
Husika na mada tajwa hapo juu Nauliza hii imekaaje kaaje kuwasindikiza watuhumiwa kwa ving'ora Mkoa flani huku kanda ya ziwa naona ndo mtindo uliopo watuhumiwa wanapotolewa magereza kupelekwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani siku za nyuma kidogo kulikuwa na watu wenye vitambi wachache sana ukilinganisha na sasa maana nimejaribu kuangalia sources nyingi sana za hapa Tz bado inaonyesha kuwa siku za nyuma watu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Aidha, kampuni hiyo ikidaiwa kufanya shughuli zake kinyume cha taratibu. Timu ya wataalamu wa NEMC kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
GRAPHITE (bunyu) ni madini ya viwandani ambayo pacha wake ni alimasi(diamondi). madini haya yamepata sifa mbalimbali ambazo yameyafanya yawe tegemeo kubwa kwa techolojia inayoibukia kwa sasa. kama...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Habarini wana JF wote. Nina Kamzigo kangu (wanasemaga PASELI) Nilikuwa nataka nikapeleke nchini Kenya - Mombasa, huyu mtu ninaetaka kumtuma, nimeambiwa ana matatizo ya Kichwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mnaotembea tembea Kwenye Nchi za Watu Dar es Salaam ni Kijiji Kweli? ------------------------------- UPDATE Daily mail wamefanya Marekebisho na Kuita A Coastal City of Dar es Salaam. Rooney...
0 Reactions
172 Replies
19K Views
Kwanza nitoe pole kwa familia ya Mwakyembe (mb) kwa kuondokewa na mpendwa wao. Nije moja kwa moja kwenye mada, toka leo asubuhi clouds fm inaonekana kutangaza kila nusu saa kuhusu msiba as if ni...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom