Wapi naweza kupata ramani zinazoonesha Wilaya ya Busega?

ChamaDola

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
3,431
2,804
Wakuu,
Wapi mtandaoni ninapoweza kupata ramani zinazoonesha mgawanyo wa tarafa,kata na vijiji vya Wilaya ya Busega mkoani Simiyu?
Kwa mwenye kujua wavuti husika,naomba anitajie!
Na kwa wale wenye ramani husika mwaweza ziweka hapa!
Natanguliza shukrani!
 
Back
Top Bottom