Basi zuri la kwenda Bukoba kutoka Dar

Jul 20, 2014
60
9
Ndugu wana janvi naomba kujuzw kwa yule anayefahamu basi zuri linalofanya safari za dar to bukoba kila siku maana natarajia kusafiri kwenda uko ila ni mda mrefu sijaenda hivyo sina ufahamu mzuri na mabasi haya.tafadhar naomba mwenye ufahamu anifahamishe.
 
Kama ukikosa lililo chagu lako panda ya mwanza lala mwanza asubuhi panda mabus ya bukoba kupitia geita yapo mazuri sana mkuu
 
Mkuu kula hizo 2 za kwanza hapo juu swaafi kama unanawa vile
 
Kama ukikosa lililo chagu lako panda ya mwanza lala mwanza asubuhi panda mabus ya bukoba kupitia geita yapo mazuri sana mkuu

Kama yapi mkuu make kwa hapa na mie napatamani hapa
 
Hivi basi la BIJAMPOLA bado lipo? maana miaka ya 47 lilivuma sana
 
Hata princes muro kuna Mende na kunguni balaa but kama safari yako upo vizuri nakushauri chukua ndege mkuu from Dar to Mwanza Dar to Bk ni safari ndefu sana kwa basi yaani unakaa kwenye basi mpaka unachanganyikiwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom